Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

Kwa hiyo Prof.Mkandala hawezi kushauri kitu unamaanisha?
 
Inawezekana hata hela za uchaguzi safari hii wakaomba DPWorld.
Sio inawezekana ,wameishachukua fedha nyingi kutoka kwa hao waarabu ndio maana wanachanganyikiwa wakishauriwa kuuvunja huo mkataba! Hawana jinsi ya kuzilipa hizo fedha ndio maana wamegeuka kuwa wehu wanazungumza hovyo hata Samia haeleweki!! Anaseme Katiba ni kitabu tu anasahau kuwa bila umuhimu wake asingekuwa leo analembua macho kwenye kiti chenye nembo ya Taifa!
 
Kwa hiyo Prof.Mkandala hawezi kushauri kitu unamaanisha?
Huyo Mkandala chochote atakachoshauri kitatoka mdomoni mwa Kikwete!! Huyo ni pandikizi wa Kikwete kuhakikisha kuwa interests zake zinalindwa!! Huyo ni chawa wa Vasco Dagaama.
 
Kwenye Kitabu cha Hayati Ben Mkapa alisema CCM walipora fedha za uchaguzi, huyu Maza nae kaenda kuzifukunyua za kwenye kanzu.
 
Kwenye Kitabu cha Hayati Ben Mkapa alisema CCM walipora fedha za uchaguzi, huyu Maza nae kaenda kuzifukunyua za kwenye kanzu.
Huyu Bibi amezifukunyua za kwenye kanzu na nyingine nyingi toka BOT ndio maana akawaweka watu wake BOT na Teasury!! Unadhani huyo mama katibu Mkuu hazina amewekwa kwa kazi gani? Is she the most qualified? No ; then what is the purpose of putting her there if not to facilitate looting!
 
Wagalatia ndio wana chuki na rais
 
Halafu anajifanya kukasirika kusonya na kuita wenzie "Mastupid" hawa CCM Nchi ilishawashinda zamani sasa hivi wanafosi tu.
 
Anaongoza kwenda wapi ?wakutuongoza wapo ila sie yeye iwe mvua au jua asema Bwana
 
Mbona watumishi wa umma wapi hoi
Una uhakika unachosema?
Ilhali Sasa ndio kipindi ambacho watumishi wengi wa Umma wanafurahia Utumishi wao kupitia serikali ya Awamu ya SITA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…