Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

mazaga one

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
2,514
Reaction score
4,042
Nawasalimu Kwa Jina la JMT.

Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya.

Sababu Kubwa nazoziona ni hizi,Rais Samia alikuwa ndani ya utawala uliopita Tena Jikoni kabisa,na aliona madhaifu ya mwenzake na mengine aliweza Kujifunza akiwa Na mwenzake,Leo hii kapata fursa ya Kuwa Rais Yale yote ambayo yalikuwa madhaifu ya mtangalizi wake anayafanyia kazi.

Binafsi mpaka Sasa Mimi Samia Namkubali sana na ninampenda sana Mama yetu Huyu,na ninamuombea Kwa Mungu siku zote azidi kufanya kazi hii bila kuchoka,najua Watanzania huwa hawaridhiki hata ufanye zuri kisasi gani...Ila uzuri wake ni wachache tu wa Mitandaoni.

Mama Samia kama inasoma huu ujumbe,mama piga kazi tuletee maendeleo,naomba tu suala la

1. Umeme mama upige mwingi
2. Suala na Ajira ushaupiga mwingi na Bado unaupiga mwingi
3. Barabara mikataba kibao tunaona, ujenzi unaendelea Kwa Kasi Kubwa kama ilani inavyosema.
4. Suala la Afya umejenga vituo vingi vya afya na umenunua vifaa vya kisasa,siku hizi hadi kwenye zahanati za vijijini Watu wanafanya Vipimo vya Maabara Kwa ubora ule ule....
5. Twende michezo,mama umezidi kuupiga mwingi
6. Diplomasia ndio kabisaa Nchi yetu Sasa ni moto,
7. Mazingira ya Uwekezaji ndio kabisa mama umeweka mazingira Bora Sana,na kila siku wageni wanafurika Tanzania Kwa kuwa Serikali yako imefungua Nchi na kuweka mazingira Bora kabisa ya Uwekezaji..

Ombi langu kwako Mhe.Rais wetu...

Nakuomba sana Rais siku Moja waalike Wasomi kutoka Vyuo vyetu hasa Maprofessor na Madokta kadhaa kutoka Vyuo vyote Nchini angalua ukutane nao Ikulu waweze kukaa meza Moja na wewe kama Kuna mambo kadhaa wakushauri pia,naimani watakuongezea kitu..

Yote Kwa yote Nasema Kazi Iendelee.
 
Chawa huwa hawana akili wenyewe ni kusifia tu.
 
Kuna watu wamo humu JF wapo kwenye Taasisi,hizo zilizotajwa na CAG,unakuta nao ni wezi tu,ila wakija humu kwenye keyboard ni kuiponda Serikali tu...
Ripoti ya CAG ya wizi wa matrilioni ameoshia kutuzuga na Speech yake ya "Mastupid".
 
Na hii ya juzi alikuwa anatoa povu kuwa kulikuwa na mtandao kwenye halmashauri za mikoa ya nyanda za juu kusini walioiba mabillioni na wao wamewakamata Umesikia kuwa kuna lolote Lina endelea? She has no sense of purpose!
 
Inawezekana hata hela za uchaguzi safari hii wakaomba DPWorld.
 
hakuna ushahidi wowote popote, success can be tracked kuanzia shuleni mpaka kwenye career, sijaona popote kwamba ni overachiever, hivyo unatuletea stories za kweny midundiko tu, huwezi ku fake success, hata hivyo nyota njema huonekana asubuhi Waswahili tunasema na mpaka sasa hivi ni disappointments tu …
 
Back
Top Bottom