nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu?
Miaka ya leo waziri hajui hata kusoma hotuba iliyoandikwa kiingereza? Au ni kwamba kusema wanyama wanaofanana hutembea pamoja? Hii ni aibu na fedheha kwa nchi.
Miaka ya leo waziri hajui hata kusoma hotuba iliyoandikwa kiingereza? Au ni kwamba kusema wanyama wanaofanana hutembea pamoja? Hii ni aibu na fedheha kwa nchi.