nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Samia mwenyewe kilaza, sasa unategemea vipi amjue kilaza mwenzake?Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu?
Miaka ya leo waziri hajui hata kusoma hotuba iliyoandikwa kiingereza? Au ni kwamba kusema wanyama wanaofanana hutembea pamoja? Hii ni aibu na fedheha kwa nchi.
Kiswahili kitukuzwe kabisaKwa nini asitumie Kiswahili tu?
Kuna raia huwa wanafurahi sana jinsi Shilole anavyozungumza Kingereza!Chamsingi awe anasoma hotuba zake kwa kiswahili tu hakuna haja ya kujiabisha.
AstagafulillahSamia mwenyewe kilaza, sasa unategemea vipi amjue kilaza mwenzake?
Mimi labda Mungu alivyo muumba tuSijawahi kumuelewa na kumkubali kwa lolote huyu waziri! Sijui ni kwanini?
Mawaziri unaowakubali na huyo jenista hawana utofauti wowoteSijawahi kumuelewa na kumkubali kwa lolote huyu waziri! Sijui ni kwanini?
ππππππππππππππππUnazijua nguvu za Waganga wa Malawi?
π€£Wote viazi
Hiyo hotuba iko wapi? Haya ndiyo mambo nisiyoyapenda.Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu?
Miaka ya leo waziri hajui hata kusoma hotuba iliyoandikwa kiingereza? Au ni kwamba kusema wanyama wanaofanana hutembea pamoja? Hii ni aibu na fedheha kwa nchi.