Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

Kusoma kiingereza vizuri au kutoa hotuba nzuri sio kipimo kizuri cha intelligence au utendaji wa kazi wa mtu, kuna watu Wakiongea hata kuunga sentensi mbili hawawezi ila quality ya kazi yao au darasani ni first class
Mkuu,
Usitetee UZEMBE MAARIFA mengi yapo kwa lugha ya kiingereza field zotee zipo kwa lugha ya kiingereza

Kuto kuijua lugha hakuna excuses kikubwa yeye ni kioo anasoma kiingereza anazidiwa na Binti yangu wa darasa la Tano.
 
Nasoma comments tu mengi yanaki peramiho
 
Mkuu,
Usitetee UZEMBE MAARIFA mengi yapo kwa lugha ya kiingereza field zotee zipo kwa lugha ya kiingereza

Kuto kuijua lugha hakuna excuses kikubwa yeye ni kioo anasoma kiingereza anazidiwa na Binti yangu wa darasa la Tano.
Kiingereza sio muhimu sana, acheni akili za kitumwa, Presidents wa nchi zilizoendelea kama France, Russia, Spain etc wakija US huwezi kuona wanaongea kiingereza
 
Nampenda sana Jenister, namshauri issue za English aziweke pembeni kabisa, aende na kiswahili chetu hiki, hakuna ubaya!, love you πŸ’—
 
Kiingereza sio muhimu sana, acheni akili za kitumwa, Presidents wa nchi zilizoendelea kama France, Russia, Spain etc wakija US huwezi kuona wanaongea kiingereza
Kama hawaongei Kiingereza , Jenista yeye hiko Kiingereza uchwara alikuwa anamsomea nani!? Kwa nini asitumie lugha yetu ya Taifa ili sisi wananchi tuelewe neno kwa neno!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…