Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

Nimekusamehe bure kabisa kwa sababu hujui ulitendalo
 
Katiba mpya Tume HURU halafu ndio tumsifie Raisi Samia Suluhu kwanini inakuwa ni vigumu sana?!
Kwani kuna jambo gani unaloona limekwama hapa Nchini kwa sababu ya katiba? Mbona mambo yote yanakwenda vyema na vizuri kabisa kwa katiba hii hii tuliyonayo.
 
Mbona Wazir Kingo Kama anadundika 😥😰🤔😂?!

🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️💨
 
Unajitekenya, unacheka mwenyewe 😃… wanaoelewa wakisoma Huu upuuzi wako wa nakuona wewe ndo chizi sasa 😂
 
Hivi binadamu anakuwa amepatwa na ugonjwa gani hasa hadi akili zinakuwa za aina hii kinyume na binadamu wengine wanavyofikiri?
Huyo aliyesifiwa ukomandoo nina uhakika katika pitapita yake mtandaoni akikutana na thread kama hii hata kuisoma hataisoma maana anajua imejaa upumbaf mtupu, haina ukweli wala mvuto.
Lucas, punguza uchawa bwana! This is JF the home of great thinkers kwa nini uwajazie threads za kidwanzi?
 
Acha ujinga hivi unajua mafunzo ya ukomando ww?
 

Attachments

  • 3049818-bea797ab6cbc71c96b0e8f1726a165b5.mp4
    55.4 MB
Ipo siku nakusubiria Ulete Nyuzi zako za Kise nitakunyoosha hadi upasuke.
 
Lucas usituchonganishe na mama etu Samia.
Tunampenda Sana.
Ila Sasa wewe unafanya mizaha na masiala unajua maana ya commando? Hii kitu haina tija Sana Sana unajaza server za melo.
 
Majitu kama haya usikute tumeyasomesha kwa kodi zetu, sasa hv yapo yanalamba miguu ya mama hata yakipewa mavi yatakula sababu yamepewa na mama. Hakuna mtu anayezuiliwa kusifia anachokipenda ila hili jamaa limevuka mipaka, ni ile mijitu mikatili ambayo ipo tayari watanzania wengi maumie bila yeye kufanya chochote sababu yeye linashiba.
 
Tusubiri hapo kwenye kampeni mkoa to mkoa kijiji to kijiji kata to kata kitongoji to kitongoji akitoboa ndio tutajua huo ukakamavu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…