Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Huyu huyu alipoingia madarakani akawadanganya chadema kwamba atateua wapinzani kwenye serikali yake, wakafikiri mbowe atateuliwa wakasema anaupiga mwingi.Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu...
"...ukikaa kiuadui..." Ndio kukaaje huko?Kasema ukikaa ki uadui..sio kila anaepinga adui...sio kila upinzani ni uadui ....adui ni Yule anaepinga kila kitu...mtu analalamika mgao ...akiambiwa tumenunua mitambo ya gesi kuondoa mgao hataki pia ..anataka tusubiri bwawa la Nyerere...sasa watu Aina hiyo ni wazalendo au wanafiki
La mbowe wampe uwaziri, anafaa sana yuleHuyu huyu alipoingia madarakani akawadanganya chadema kwamba atateua wapinzani kwenye serikali yake, wakafikiri mbowe atateuliwa wakasema anaupiga mwingi.
Sasa si Bora turudi mfumo wa chama kimoja.
Hiyo sumu isiyokwisha mwilini ni sumu ya aina gani hiyo?Tatizo letu ni lile lile, wabongo wengi wanapenda burebure,, nyerere aliwadekeza sana,, umeme bure, matibabu bure, elimu bure, usafiri bure🙆🏻♀️
Nani? Labda January Makamba na Stephen Byabato ndio watasupport hilo suala,Nani asupport mgao wa umeme
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu...
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha,
Chukulia mfano PAP wametuuzia umeme tena kwa bei cheap kuliko hata songaz,,Hiyo sumu isiyokwisha mwilini ni sumu ya aina gani hiyo?
Halafu hata waliozaliwa miaka kadhaa bada ya huyo aliyemwaga sumu ndio wawe waathirika zaidi ya walioonja sumu wenyewe?
Hapana, sikubaliani na hoja yako.
Ukweli mkuu umeme ni kero zaidi ya kero,KWA mfano umeme wa Sasa ni kama kibatari unazima Hata kwa ushuzi tu!!
DUNIANI KOTE HAKUNA UJINGA HUO NDIO MAANA VIKAITWA VYA UPINZANINi jambo jema
Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!
Katolea mfano wa TLS kwa miaka 5 iliyopita.
Je hicho chama kweli kilikuwa adui wa selikali?
Kwa maumivu wanayotupa wale ni sioni ganziChukulia mfano PAP wametuuzia umeme tena kwa bei cheap kuliko hata songaz,,
Umefika mda wa kulipa , tena pesa ilitengwa escrow fund,, watu wanadai hiyo pesa ni ya umma,, yaAni utumie umeme wa watu kulipa iwe ishu🤗
Ni jambo jema
Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!