Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Nisahihi ila nchi yetu watu hawakosoi wanatukanaNi udhaifu mkubwa sana kuwachukulia wapinzani kuwa maadui.
Takataka hiyo can not be honest! Majitu kama hayo usijibizane naye, just block them!Just be honest.
Akili kama hizi ndiyo zinafanya CCM ionekane ni genge la wasaka tonge tu.Labda, pengine Tangazo la chadema kwamba 2025 hakuna ucbaguzi mkuu limechangia,,
Nasikia kina pambalu wameenda ulaya kujifunza kareti[emoji16][emoji2960]
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu...
unda chama chako na familia yako uwasupport walamba asali.Ni jambo jema
Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu...
Wangeweka uwanja sawa wa kufanya siasa na kuacha kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuiba kura ndiyo tungepata jawabu sahihi.Muulize mange kimambi,, mwenyewe alinyooshq mkono,, ukweli ndio huo,, asilimia kubwa ya wananchi hawako tayari kubadili statu quo
Imebadilika majuzi, nadhani learned friends walichoka kutumiwa. Wanaharakati wa CHADEMA walikuwa wakifaidi advisory fees makampuni ya makanikia huku wakijitia watetezi.Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake...
Uongo, ameingia madarakani akiwa na agenda ya kumfunga Mbowe na kumalizia kazi aliyoiacha yule dhalim ya kusambaratisha upinzani.Huyu huyu alipoingia madarakani akawadanganya chadema kwamba atateua wapinzani kwenye serikali yake, wakafikiri mbowe atateuliwa wakasema anaupiga mwingi.
Mkuu huwezi kulazimisha upendo. Fanya majukumu yako ipasavyo na kutimiza wajibu maendeleo siyo Siri kila mtu ataona. Lakini kila kitu kinapopanda bei, ufujaji wa Mali unaoonyeshwa kwenye ripoti ya CAG haufanyiwi kazi unajua kuna mtu hatimizi majukumu yake.Kasema ukikaa ki uadui..sio kila anaepinga adui...sio kila upinzani ni uadui ....adui ni Yule anaepinga kila kitu...mtu analalamika mgao ...akiambiwa tumenunua mitambo ya gesi kuondoa mgao hataki pia ..anataka tusubiri bwawa la Nyerere...sasa watu Aina hiyo ni wazalendo au wanafiki
Yes Mimi pia nilikua siafiki TLS kuhodhiwa na wanasiasa both wa CCM au Chadema. Najua ilikua strategy ya upinzani kuwa na sauti kwenye lobby groups ila wangeweka moderates sio extremists au active politicians kma Lissu/Masha/Karume n.kKwa hiyo chama cha wanasheria kwa miaka 4 nyuma walikuwa wanakosea?
Kimsingi hataki kupingwa.Uko right but Read btn the lines, hajaongelea only about tls, and so called wapinzani
Mbona sijawahi kuona ukipinga hilo?Yes Mimi pia nilikua siafiki TLS kuhodhiwa na wanasiasa both wa CCM au Chadema. Najua ilikua strategy ya upinzani kuwa na sauti kwenye lobby groups ila wangeweka moderates sio extremists au active politicians kma Lissu/Masha/Karume n.k
Mimi siyo kiongozi wa nchi ila nauona mbovu alioujenga Nyerere unaotukwamisha. Miaka 60 ya uhuru maji na umeme bado changamoto, huoni kuna sehemu tumekosea hapo?Kwahiyo nchi kukosa umeme na maji ni kwasababu ya mfumo wa Nyerere?
Watoto wanamaliza shule hawajui kuandika wala kuhesabu vizuri,ni kwa sababu ya mfumo wa Nyerere...