Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Swala la kutokuvunjika kwa mfumo sio kweli, kama ulitengenezwa na watu hao hao watu wanaweza kuuvunja, labda uniambie hawajaamua, endapo wenye dhamana wakiaamua. Hivyo sioni sababu ya kumlaumu Nyerere kwa jambo ambalo liko ndani ya uwezo wetu, sasa kwa kuanzia inabidi kupata katiba mpya. Itakayo mpunguzia madaraka rais na kumuwajibisha tofauti na ilivyo sasa.
Hiyo katiba labda itungwe AmericaSwala la kutokuvunjika kwa mfumo sio kweli, kama ulitengenezwa na watu hao hao watu wanaweza kuuvunja, labda uniambie hawajaamua, endapo wenye dhamana wakiaamua. Hivyo sioni sababu ya kumlaumu Nyerere kwa jambo ambalo liko ndani ya uwezo wetu, sasa kwa kuanzia inabidi kupata katiba mpya. Itakayo mpunguzia madaraka rais na kumuwajibisha tofauti na ilivyo sasa.
Ndugu zangu Tumepigwaa kichwani, watawala hawa!!Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
Hataki kukosolewa anataka kusifia tuKivipi Mkuu!!? Mama sio mnafiki , nadhani hata wewe sidhani kama uko tayari kufanya kazi na mtu ambaye anawaza kukurudisha nyuma, mama Yuko sahii5 na huenda watu hamjamuelewa
Ewalaa sasa hapo tatizo sio nyerere ila wenye dhamana ambao wananufaika na mfumo mbovu aliotuachia Nyerere, sasa sisi inabidi tu dili na hawa waliopo tuanze na mama samia.Wenye dhamana wananufaika na huu mfumo mbovu.. Hawawezi kuuvunja.
Na ni ukweli ulio wazi, Tanganyika Law society iliingiliwa na siasa,, hasa kipindi cha JKKasema ukiwa "adui". Manake unampinga ili ashindwe ..haupingi ili kumkosoa ...ni Sawa na Wale wanapinga kila kitu
Aibu snKajua kwamba kwenye jamii yetu kuna watu wengi watakubali na kufurahia maneni haya ya ukatili.
Viongozi wetu ni vioo vya jamii yetu.
Angejua Watanzania hawatakubaki ujinga huu, asingeweza kusema hivyo.
Mbona huku Ni kumlisha maneno rais wetu,Hataki kukosolewa anataka kusifia tu
Inatungwa hapa hapa tu taka usitake.Hiyo katiba labda itungwe America
Yaani hutaki kuona watu wana challenge unataka mapambio tupuMbona huku Ni kumlisha maneno rais wetu,
Hii kauli angelikuwa ameitoa magufuli mpaka mda huu akinachadema lisu , Maria fatuma pangekuwa hapashikikiRais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
Kwahiyo nchi kukosa umeme na maji ni kwasababu ya mfumo wa Nyerere?Mfumo uliojengwa na Nyerere unawanufaisha vigogo. Hauvunjiki.
Wazungu watamwelekeza hatua za kuchukua😁Duh!
Mbowe kafungwa mdomo kwa maelezo haya
Kushirikiana kufanyaje?Ameongea fact,, tatizo wengi hawapendi kusikia ukweli mchungu,, huezi kushirikiana na mtu anaekuhujumu, never
Tukiachia wanasheria kuwa politicized, kinachofuata ni madaktari, kisha waalimu, manesi, etc.Sisi ndio uelewa wetu mdogo Rais anaongelea vyama vya kitaalamu hajaongelea vyama vya siasa kama unataka siasa unaingia katika siasa sio kujificha kwenye vyama vya kitaaluma nakufanya harakati. Adui yangu nimshirikishe kwa lipi? aje aharibu apinge kama mpinzani sio kujifanya chama cha wanasheria kama kina Lissu walivyoingia mle kuleta siasa.
Mama ameongea neno moja gumu kwa wanaomnangaRais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake