Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DJ mlete mama shughuli na kibao Cha marehemu Komba.
"Wacha waisome namba"
Hii nchi ni ngumu sanaLeo mama Samia amesema ile tozo ya mafuta iliyotangazwa kufutwa kwenye mafuta aliaamua kuirudisha.
Wengi walipongeza ile tozo kufutwa vyombo vya habari vikaandika na kama kawaida wale jamaa zetu wakasifu kuwa hii Ni hatua nzuri. Looh kumbe ilipotangazwa kufutwa, raisi aliamua kuirudisha.
Cha ajabu kabisa wale walioshangilia na kusifu tozo ile kufutwa, leo watasifu ile tozo kuendelea. Lakini walikua hawajui Kama inaendelea.
Nguvu iliyotumika kutoa taarifa ya kufutwa tozo ilipaswa pia itumike tozo iliporudishwa. Lakini kukaa kimya haikua sawa kabisa.
Lakini pia mama Samia hii Bei ya dunia ya mafuta iliyopo sasa iliwahi kuwepo 2012 lakini Bei huku haikua hii, au Kuna kitu kingine kimepandisha mafuta huku zaidi ya soko la dunia?