Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

Tumsomee Dua huyu Mzee Putin ili lije wazo la kuacha Vita maana twaafa sasa.
 
Kwa kifupi ni kuwa, vita inapotokea mura, viongozi hawatakiwi kuumia, bali wananchi ndio wanatakiwa kuteseka.

Dunia simama nishuke
 
Huyu ndo Rais sasa achana na yule mwendazake"alisikika jamaa mmoja baada tu ya b tozo kuapishwa"
 
Mama anaupiga mwingi.

Mama anafungua Nchi
 
Anasema Hangaya
.
Bei ya mafuta kwa Tanzania ni ndogo ukulinganisha na nchi za Afrika Mashariki na Kati, lakini wenye sekta wapo kimya hawasemi, tunamsubiria Rais, Nani ni Rais, Rais ni taasisi.
.
Waambieni Wananchi yanayoendelea huko duniani.
.
Afrika Mashariki na kati ni Tanzania pekee ambayo bei ya mafuta bado ipo chini kulinganisha na hizo nchi nyingine.
 
Tulipe kodi kwa maendeleo ya Taifa.

Ama mnataka tuendelee kusaidiwa alafu watuwekee mambo ya MRADI HUU UMEFADHILIWA KWA KODI ZA WANANCHI WA UGANDA!
 
Kila j3 au j4 ya mwazo wa mwezi EWURA hutangaza bei mpya za fuel
Hakuna surprise hapo,hangaya kaongea makusudi tu ili watu wapunguze tension siku hiyo
 
umeme tuliambiwa itakuwa elfu27 baada ya mda ikaondolewa na kurudishwa laki 3. tozo ya mafuta iliondolewa tukafurahia leo imerudishwa
 
Huyu ndo Rais sasa achana na yule mwendazake"alisikika jamaa mmoja baada tu ya b tozo kuapishwa"

IMG_0754.jpg
 
Hangaya akajifunze kuhusu Inflation na Public Debt ......
Nchi inamshinda haraka sana.
 
Back
Top Bottom