Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

Uzuri ni kwamba, wenyeviti, madiwani, Wabunge, wote ni wa chama kimoja.

Chadema walituchelewesha sana kupata maendeleo.

Tukae kwa kutulia dawa iingie.
Hata iwe jua au giza. CHADEMA walie tu
 
kiukwel inashangaza Sana wananchi tunalalamika kuwa Bei zinapanda lakn Rais yeye anashauri kabisa kuwa Bei ya vitu ipande kwa mdomo wake mbele ya halaiki

Wala hakemei chochote leo anasaema kabisa Bei ya bidhaa na nauli itapanda maana yake amebarik hili jambo

Mnao mshauri Rais ndivyo inavyokuwa kweli? Rais ndye mfariji mkuu lakn amegeuka ndyo msababusha madhira mkuu wa wananchi

Sina la kusema lakn watanzania tujiangalie Sana sioni nuru yetu Wala kesho yetu mfanyabiashara yeye anataka faida tu

MAMA BADILIKA TAFADHARI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Asante Sana mama Samia,unazidi kutuheshimisha wafanyabiashara.
mNLPzh2J9M2Jussf.jpg
 
Katiba mpya tunayoitaka,kipengele cha kurithi madaraka kifumuliwe ufanyike uchaguzi tu.
 
Huyu mama tumepigwa pakubwa mno,hivi hizi tozo zote ameshindwa kuondoa au kupunguza tukapata bei ya mafuta inayohimilika?tunakaa kusingizia Ukraine na Russia tu

Bei ya mafuta mpaka inafika Bandari ya Dar ni 1,162
Kinachofanya ifike bei ya 2,600 ni tozo na kodi za serikali yake,kwanini asitumie akili binafsi yeye anakaa kusikiliza kina Mwigulu?
JamiiForums-695624583.jpg
 
kiukwel inashangaza Sana wananchi tunalalamika kuwa Bei zinapanda lakn Rais yeye anashauri kabisa kuwa Bei ya vitu ipande kwa mdomo wake mbele ya halaiki

Wala hakemei chochote leo anasaema kabisa Bei ya bidhaa na nauli itapanda maana yake amebarik hili jambo

Mnao mshauri Rais ndivyo inavyokuwa kweli? Rais ndye mfariji mkuu lakn amegeuka ndyo msababusha madhira mkuu wa wananchi

Sina la kusema lakn watanzania tujiangalie Sana sioni nuru yetu Wala kesho yetu mfanyabiashara yeye anataka faida tu

MAMA BADILIKA TAFADHARI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hana hekima.
 
Back
Top Bottom