Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ni aibu kuyaita matapeli na vibaka kuwa ni 'Mama'Mama kajiongeza😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu kuyaita matapeli na vibaka kuwa ni 'Mama'Mama kajiongeza😂
[emoji16][emoji16][emoji16] usiwaamini sana watu wanaonyoaga kipara Maisha yao yote mzee [emoji16][emoji16][emoji16]Makamba alienda waarabu akapiga picha na matapeli ya kiarabu akaja kusema mafuta yanashuka soon kumbe ndiyo yatapanda
Ni matapeli sn kama Ndugai[emoji16][emoji16][emoji16] usiwaamini sana watu wanaonyoaga kipara Maisha yao yote mzee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16] Sawa sawa kabisa.Ni matapeli sn kama Ndugai
mzanzibari huyu hana huruma mara mia jiwe alikuwa katili kwa wanasiasa tu,mtaani watu wanaliaMtu mmoja anapewa uwezo wa kutupiga tozo anavyotaka yeye, hii lazima ibadilike...KATIBA MPYA!!!
Ishageuka imekua mama anapigwa mande , huku Mwigulu kule Majaliwa kati Mpango.Mama anaendelea kuupiga mwingi. 😁
Hata iwe jua au giza. CHADEMA walie tuUzuri ni kwamba, wenyeviti, madiwani, Wabunge, wote ni wa chama kimoja.
Chadema walituchelewesha sana kupata maendeleo.
Tukae kwa kutulia dawa iingie.
Dah!...maisha mbona yatabana sana....duh! .Ilikua ni jambo la muda tu. Ile ya kwanza ilikuwa mhemuko wa mamlaka ila sasa ameanza kuelewa hali halisi ikoje.
Tusubiri tuone.
Hahahahah anawainua kinamna flaniAsante Sana mama Samia,unazidi kutuheshimisha wafanyabiashara.View attachment 2169559
Hana hekima.kiukwel inashangaza Sana wananchi tunalalamika kuwa Bei zinapanda lakn Rais yeye anashauri kabisa kuwa Bei ya vitu ipande kwa mdomo wake mbele ya halaiki
Wala hakemei chochote leo anasaema kabisa Bei ya bidhaa na nauli itapanda maana yake amebarik hili jambo
Mnao mshauri Rais ndivyo inavyokuwa kweli? Rais ndye mfariji mkuu lakn amegeuka ndyo msababusha madhira mkuu wa wananchi
Sina la kusema lakn watanzania tujiangalie Sana sioni nuru yetu Wala kesho yetu mfanyabiashara yeye anataka faida tu
MAMA BADILIKA TAFADHARI
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app