Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu mazezeta wapo wengi.Ilivyoondolewa mlimsifu raisi, kaibakisha mnamsifu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mazezeta wapo wengi.Ilivyoondolewa mlimsifu raisi, kaibakisha mnamsifu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nyie mataga pori mkienda sheli mnapata punguzo maalum la bei ya mafuta?"NAONA CHADOMO WAMEPATA HOJA"
Hata Mimi niliyekuwa nimebaki na heshima nitaanza kumdharau.Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta...
TUNAJITOA UFAHAMU KANA KWAMBA HATUONI REASON WATANZANIA HA HA HAManina walahi
Unalijua tatizo unajifyatua akiliKumbe nyie maraga pori mkienda sheli mnapata punguzo maalum la bei ya mafuta?
Anyway nimesahau mataga huwa hayana hata motokaa 😂
Tofauti na tatizo la vita ya Ukraine pia mwenyekiti wa CCM alituongezea sh.100 kwenye mafuta so tumenyongwa mara mbili.Unalijua tatizo unajifyatua akili
Inaenda su imeshakuwaPetrol inaenda kuwa elfu 3 kwa litre
Huo ndo uchumi anaoupigia chapuo madelu na hangaya, uchumi tozo....Serikali inawaza kukusanya pasipo kuleta maendeleo au kuleta mazingira bora ya ukusanyaji.
Niliandika hapa kuwa muda si mrefu tutaambiwa vita ya Ukraine na Urusi ndio imeleta huu mfumuko ,utadhani huu mfumuko ndio umeanza juzi, Bongo pana mizaha mingi sana.Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza irejeshwe...
Kusema kwamba kuondoa shs 100/ tayari ilikuwa kwenye budget ya mwaka; kwani ya misaada kama ya TZS 1.3tr zilikuwepo kwenye budget?Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza irejeshwe...
Duu, huyu rais kiboko aisee.Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza irejeshwe...