Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Kama anachukulia hiyo nafasi Kama ni janga basi tumepigwa!.. wale wote wanaokuwa ktk nafasi za pili lazima waandaliwe na wawe tayari kushika majukumu ya kwanza!. Tuchukulie hili kama funzo.
Ninyi, ilisemwa kudra mkaja juu sasa janga mnakuwa wa moto zaidi!
 
Yes, hiyo laana iwapate wote ambao ni maadui wa maendeleo ya nchi, hasa wale wa chama cha magaidi (kina Hamza) na wale wezi wa kura, wabambikiaji kesi, ma-sukumagang, wale inzi wote wa kijani!
 
Yes, hiyo laana iwapate wote ambao ni maadui wa maendeleo ya nchi, hasa wale wa chama cha magaidi (kina Hamza) na wale wezi wa kura, wabambikiaji kesi, ma-sukumagang, wale inzi wote wa kijani!
Gaidi mboe na wafuasi wake walio laaniwa.
 
Huyu wanaweza mlazimisha aendelee ili watu waendelee kujipigia mipunga tu๐Ÿ˜…
 
Urais ni kazi ngumu Sanฤ… kamฤ… unataka kuwatumikia wananchi na ndio kipindi Mh.Rais anakipitia
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?

Hii ni kazi ngumu mno. Anahitaji support yetu. Anahitaji sala zetu njema.
Anahitaji watu waadilifu wa kufanya kazi naye, ii mambo yaende na yasiharibike
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?

Ndio maana General Ulimwengu anamtahadharisha Mama kua Nchi hii ni Ngumu. Nadahani Mama sasa ameanza kumuelewa Ulimwengu the Greater.
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Hahahahah yani huwa akili inanijia ni sawa na yule mwanafunzi ameitwa ubaoni kaandikiwa 2+2=?

Wa nyuma kamuoneshea vidole vinne kuwa jibu ni 4 halafu kwenye jibu pale kaanza kuchora mkono wenye vidole vinne๐Ÿ˜…!
Totally useless prezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ