Nombo de classic
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 249
- 319
Huyu Bibi kizee anabutua butua sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya Mbowe. Hangaya analala na maluelue.Msimfanye Mbowe Mungu wenu…. Hana ubavu wa kulaani chochote
huku akitaka atawale milele😀😀Hateseki na chochote, hayo ni maneno ya wanafiki, hata Magufuli alikuwa akisema hivyo.
jiwe tulipigwa zaidiHuyu mama niliwaambia toka awali hapa tumepigwa.
Siyo kudra tena!! Ngoja nitafute clip halisi ya maelezo.Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Ninyi, ilisemwa kudra mkaja juu sasa janga mnakuwa wa moto zaidi!Kama anachukulia hiyo nafasi Kama ni janga basi tumepigwa!.. wale wote wanaokuwa ktk nafasi za pili lazima waandaliwe na wawe tayari kushika majukumu ya kwanza!. Tuchukulie hili kama funzo.
Yes, hiyo laana iwapate wote ambao ni maadui wa maendeleo ya nchi, hasa wale wa chama cha magaidi (kina Hamza) na wale wezi wa kura, wabambikiaji kesi, ma-sukumagang, wale inzi wote wa kijani!Rais wetu Mpendwa Mama Jemedari Tupo pamoja naye hadi 2030.
Bado Imara zaidi ya chuma cha pua.
tunamuomba Mungu azidi Kumlinda.
tunamuomba Mungu awaaangamize wabaya wake wote, wapate maradhi yasiyo pona wataaabike nayo hadi wapoteze kumbukumbu.
Amen.
Gaidi mboe na wafuasi wake walio laaniwa.Yes, hiyo laana iwapate wote ambao ni maadui wa maendeleo ya nchi, hasa wale wa chama cha magaidi (kina Hamza) na wale wezi wa kura, wabambikiaji kesi, ma-sukumagang, wale inzi wote wa kijani!
Yes. Laiti tungeweza kuvifungua vifua vyao tungejionea vichekeshohuku akitaka atawale milele[emoji3][emoji3]
Nani alikumbuke hiloMtanikumbuka!
Huyu wanaweza mlazimisha aendelee ili watu waendelee kujipigia mipunga tu😅Wajinga watahoji si ajiuzulu?.
System ikishataka uwepo sehemu unakuwepo hata kama umesukumiziwa. Inaenda hivyo mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo.
Hii haina tofauti na ukianza kuuza madawa ya kulevya ukataka kuacha. Inawezekana ila ni ngumu sana. Komaa mama 2025 itajulikana kama unaendelea au la. Kwa sasa komaaa. Hii ni nchi yenye majeshi sio kikoba.
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
(Source: TBC1)
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
(Source: TBC1)
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
😆😆😆Huyu wanaweza mlazimisha aendelee ili watu waendelee kujipigia mipunga tu😅
Hahahahah yani huwa akili inanijia ni sawa na yule mwanafunzi ameitwa ubaoni kaandikiwa 2+2=?
Vina uhusiano gani sasa!!! Machagadema bana!Kishaanza kuona kiti kichungu. mwanzo alijua ni rahisi rahisi tu. Na bado
Akitaka atawale kwa amani, amuachie mbowe
Siyo kweli. Makamba anakubalika Sana. Pengine wapinzani wake ndiyo mnaona wivu na kuamua kueneza propaganda mfu