Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Kama anachukulia hiyo nafasi Kama ni janga basi tumepigwa!.. wale wote wanaokuwa ktk nafasi za pili lazima waandaliwe na wawe tayari kushika majukumu ya kwanza!. Tuchukulie hili kama funzo.
Ninyi, ilisemwa kudra mkaja juu sasa janga mnakuwa wa moto zaidi!
 
Rais wetu Mpendwa Mama Jemedari Tupo pamoja naye hadi 2030.

Bado Imara zaidi ya chuma cha pua.

tunamuomba Mungu azidi Kumlinda.

tunamuomba Mungu awaaangamize wabaya wake wote, wapate maradhi yasiyo pona wataaabike nayo hadi wapoteze kumbukumbu.
Amen.
Yes, hiyo laana iwapate wote ambao ni maadui wa maendeleo ya nchi, hasa wale wa chama cha magaidi (kina Hamza) na wale wezi wa kura, wabambikiaji kesi, ma-sukumagang, wale inzi wote wa kijani!
 
Yes, hiyo laana iwapate wote ambao ni maadui wa maendeleo ya nchi, hasa wale wa chama cha magaidi (kina Hamza) na wale wezi wa kura, wabambikiaji kesi, ma-sukumagang, wale inzi wote wa kijani!
Gaidi mboe na wafuasi wake walio laaniwa.
 
Wajinga watahoji si ajiuzulu?.

System ikishataka uwepo sehemu unakuwepo hata kama umesukumiziwa. Inaenda hivyo mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo.

Hii haina tofauti na ukianza kuuza madawa ya kulevya ukataka kuacha. Inawezekana ila ni ngumu sana. Komaa mama 2025 itajulikana kama unaendelea au la. Kwa sasa komaaa. Hii ni nchi yenye majeshi sio kikoba.
Huyu wanaweza mlazimisha aendelee ili watu waendelee kujipigia mipunga tu😅
 
Urais ni kazi ngumu Saną kamą unataka kuwatumikia wananchi na ndio kipindi Mh.Rais anakipitia
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?

Hii ni kazi ngumu mno. Anahitaji support yetu. Anahitaji sala zetu njema.
Anahitaji watu waadilifu wa kufanya kazi naye, ii mambo yaende na yasiharibike
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?

Ndio maana General Ulimwengu anamtahadharisha Mama kua Nchi hii ni Ngumu. Nadahani Mama sasa ameanza kumuelewa Ulimwengu the Greater.
 
😆😆😆
Hahahahah yani huwa akili inanijia ni sawa na yule mwanafunzi ameitwa ubaoni kaandikiwa 2+2=?

Wa nyuma kamuoneshea vidole vinne kuwa jibu ni 4 halafu kwenye jibu pale kaanza kuchora mkono wenye vidole vinne😅!
Totally useless prezi
 
Back
Top Bottom