Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ni jukumu la raia kusimamia viongozi iliyowachagua.Kama ni usimamizi, watawezaje kuwasimamia hao wawekezaji ili waweze kupata Kodi zao stahiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jukumu la raia kusimamia viongozi iliyowachagua.Kama ni usimamizi, watawezaje kuwasimamia hao wawekezaji ili waweze kupata Kodi zao stahiki?
Hakuna haja ya kusimamia wskubaliane pesa kamili mwekezaji apate hasara au faida lazima alipe hapo ndio hutaibiwa mapato sasa ni 1.6 trillion tsh kwa hiyo aanza na trillion 2 kwa mwaka baada ya miaka mitano iwe trillion 7 kwa mwaka baada ya miaka mitano iwe 7 plus 10 percent interest kwa mingine mitano itakuwa 15 alafu tukae tuzungumze vipi biasharaKama ni usimamizi, watawezaje kuwasimamia hao wawekezaji ili waweze kupata Kodi zao stahiki?
Aliyekwambia hatuangalii mkataba ni Nani? Serikali ya Samia sio ya kipuuzi mpaka ishindwe kufanya mikataba mizuri!Sasa ndio uchukue tu uwape sekta binafsi bila kuangalia kama mkataba una maslahi kwa taifa.
Alishaamua Nyerere tukashindwa, kabla hajang'atuka kila kilichokuwa mali ya umma kikawa chali.Doesn't matter, tukiamua tunaweza .
Kwa na Samia mtamuua?Hata lile zimwi mlisema hivo hivo
Nyie matrilioni yalikuwa yakiliwa hapa mpo kimya mnaimba mapambio ila sasa hivi kelele nyingi, hii laana mnayoitengeneza soon itawarudia, Mwenyez mungu yupo.Heshima kwa mwizi?Big no.Sikuzaliwa Tanganyika kwa bahati mbaya.
Mkataba utakuwa ni mzuri zaidi ya unavyofikiria. Ni win win situation.Hakuna haja ya kusimamia wskubaliane pesa kamili mwekezaji apate hasara au faida lazima alipe hapo ndio hutaibiwa mapato sasa ni 1.6 trillion tsh kwa hiyo aanza na trillion 2 kwa mwaka baada ya miaka mitano iwe trillion 7 kwa mwaka baada ya miaka mitano iwe 7 plus 10 percent interest kwa mingine mitano itakuwa 15 alafu tukae tuzungumze vipi biashara
Haupigwi mwingi tena?sekta binafsi
Huo mkataba kuwa bandari imeuzwa uko wapi?Heshima ina gharama yake, heshima inajengwa, hakuna heshima kwa kuuza bandari, no!
Sasa kama ni kweli kwanini watishe watu wakati wahusika wapo wasijitokeze wakaeleza kama kuna opotoshaji kuondoa taharuki maana hii nchi no ya watanzania na kama kuna taharuki sioni tatizo liko wapi kwa wahusika kujitokeza wakaweka ukweli wazi wazi.Aliyekwambia hatuangalii mkataba ni Nani? Serikali ya Samia sio ya kipuuzi mpaka ishindwe kufanya mikataba mizuri!
Kwani unaopigwa sasa hivi ni mdogo? Ikiwa macho huoni basi hata masikio hayasikii?Haupigwi mwingi tena?
Kheeee 🤣🤣🤣Wewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?
TANESCO haikubinafsishwa bali uendeshaji wake ulikabidhiwa kampuni binafsi kwa muda mfupi. Ilipoonekana ufanisi haujaongezeka mkataba ukasitishwa.Nilikuwa mtoto,ila ninakumbuka mama zangu kuwasikia wakisema Tanesco ilibinafisishwa kwa wasouth.Sasa sijui kilitokea nini ikarudi kwa serikali.Ila nadhani mikataba ilikuwa ina masharti ya kuvunjika kirahisi.
Rais ni akili ndogo! Yaani unaita kampuni ya serikali nyingine, wewe unaitoa serikali yako ktk biashara! FOOOOL!Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua wigo wa kukusanya kodi.
“Sekta binafsi ndio itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara lakini Sekta binafsi inafanya biashara, wajibu wetu kama Serikali ni kutengeneza mazingira bora ambayo yataleta chachu katika ufanyaji biashara na uwekezaji ili uchumi wetu ukue zaidi”
“Lakini tunavyofanya hivyo tunatanua msingi wa kukusanya kodi kwa upande wa Serikali kwahiyo tukazifanyie kazi kero zote ili tusukume utendaji mzuri wa biashara na uwekezaji nchini”
Alisema Rais Samia
Nani katishwa au kukamatwa? Hayo ya kukamata ni mawazo ya musukuma na serikali mpaka dakika hii haijayafanyia kazi so nyie endeleeni kujadili tu na hizo taharuki zitaisha make chama na serikali inaendelea kutoa ufafanuzi so relax my dear friend!Sasa kama ni kweli kwanini watishe watu wakati wahusika wapo wasijitokeze wakaeleza kama kuna opotoshaji kuondoa taharuki maana hii nchi no ya watanzania na kama kuna taharuki sioni tatizo liko wapi kwa wahusika kujitokeza wakaweka ukweli wazi wazi.
Rais SSH ,na Rais hatutaki kuuza nchi kwa kisingizio cha sector binafsi kukuza uchumi ,watanganyika hatutaki , sector binafsi kwa mikataba kifisadi kama sio ya kipuuzi , sasa jidanganye kwamba upo na watu royal na hakuna wakufanya kitu , acha kabisa wewe ni rais ila nyoyo za watu mil 60 sio miliki yakoRais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua wigo wa kukusanya kodi.
“Sekta binafsi ndio itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara lakini Sekta binafsi inafanya biashara, wajibu wetu kama Serikali ni kutengeneza mazingira bora ambayo yataleta chachu katika ufanyaji biashara na uwekezaji ili uchumi wetu ukue zaidi”
“Lakini tunavyofanya hivyo tunatanua msingi wa kukusanya kodi kwa upande wa Serikali kwahiyo tukazifanyie kazi kero zote ili tusukume utendaji mzuri wa biashara na uwekezaji nchini”
Alisema Rais Samia
Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).