Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Kweli nakubali hii issue ni 'trivial' ila nashikilia ingetolewa bila matangazo.
 
Acha ujinga,amekula vingapi vya nchi hii? Mpaka sasa anatunzwa kwa kodi zetu.
 
Na sisi atununulie zile noah zetu za makinikia
 
Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?

Mpongezeni na huyu
Jinga wewe, alikuwa anawagawia hela zao ziwapunguzie matatizo yao.

Mwinyi ana mshahara, nyumba na ulinzi wa serikali, halafu anapewa gari huku walimu wanalia njaa.

Mama kajaa udini na uzanzibar hadi kwenye njozi zake. Ataishia mitano ya kurithi. Ya kura hapati ng'o!
 
Wenye CCM wenyewe Benz na CCM fake wanapewa kofia za mwendazake
 
Nadhani haijanuniliwa hiyo gari nikiiangalia naona kama zile zilizotumika wakati wa MKUTAMO WA WAKUU WA NCHI ZA SADC, tusipende jiringanisha kwa kila kitu watanzania hata pua tu tumezidiana ukubwa basi na mwenye pua kubwa narpe anatumalizia hewa.
Hizo gari ni pesa tupu
Zingeweza kupigwa mnada pesa ikasaidia kutatua kero za wananchi, au zikatumika kwenye mission zijazo za kidiplomasia nchini
 
Hii inshu ya Mwinyi kupewa gari haikuwa na maana ya kuwa Publicized kwasababu imeleta tension zisizokuwa na maana, nakumbuka Magu last time aliwakabidhi hawa wazee Tausi na mkwere akapewa Nyumba, Vitu ambavyo havionekani kama anasa tofauti na Gari, Bado naona Plotters wa events za mama kuna sehemu wana mdrag back ili achafuke
 
Pengine uko right, lakini hii ni Tanzania ambapo 'benzi kutolewa zawadi' ni excess, kama unafahamu!
Tatizo ni Benz au kupewa zawadi mzee? Sioni tatizo, ni jukumu la serikali kumtunza mzee kalitumikia taifa sasa shida iko wapi au kuweka public? Hatuwezi kusema tuna uchungu na nchi wakati kuna sarakasi nyingi zaidi ya hiyo lakini tumeliona ilo tu as major. Kuna nyumba watu wamepena Masaki na Oysterbay kama njugu

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Unaona sasa! Hata hilo la nyumba Oysterbay lingetangazwa lingevutia comments kama hizi. Mambo mengine hayafai kuwekwa wazi hata kama ni sawa. Wakati mwingine hekima ni kutomweleza mkeo kuwa umemzawadia mama yako pete ya dhahabu, hasa ikiwa yeye hana!
 
Unaona sasa! Hata hilo la nyumba Oysterbay lingetangazwa lingevutia comments kama hizi. Mambo mengine hayafai kuwekwa wazi hata kama ni sawa. Wakati mwingine hekima ni kutomweleza mkeo kuwa umemzawadia mama yako pete ya dhahabu, hasa ikiwa yeye hana!
Mama kaamua kuwa muwazi hata kama utawauma lakini ndio ukweli kuliko sarakasi zilizotokea za kuficha mambo.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hivi mnajua wale wageni wa SADC zile gari zote ziliagizwa mpya 0km na kuwachukua airport na kuwarudisha baada ya hapo zililala tu.inawezekana kampa moja kati ya zile.
Kama hizo Gari hazina kazi ni bora ziuzwe fedha zake zitumike kuboresha maisha ya wananchi kama kujenga vituo vya afya kulipo kuyagawa bure
 
Sio lazima tuige mifuko ya wastaafu wao. Ndio maana hata mishahara hailingani
 
Magufuli utampenda tu na utamkumbuka kwa mazuri, ni swala la muda tu.
 
Mzee hahitaji mali za kidunia...
Kwa umri wake anastahili dua tu na neno la shukran
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Non sense, nimekupuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…