Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Hahahah

Bado mdogo ukikua utajua kuwa Report zote anazosomewa Rais hadharan anakuwa kishazipitia na asiyoyataka yanaondolewa na anayotaka yanawekwa hata kama hayakuwepo
 
Bravo Mama yetu mpenzi. Yani hatuna mashaka na wewe kabisa katika utendaji na busara zako. Mungu amejua kutuona Watanzania.
Nafikiri wapinzani wote wamehamia CCM kumuunga mkono Raisi wetu Samia S. Hasan. Je! Nao wamenunuliwa? Twambie kama mmenunuliwa! Nyote kwa pamoja munamuunga mkono sasa na kufurahia alivyo anza!
 
Mzanzibar asiyejielewa alikuwa yule waziri mdogo wa mambo ya ndani wa zamani, anaitwa nani vile? Hawahurumii hata wazanzibar wenzake wa uamsho
 
Majipu yaliyotengenezwa na JPM na kutetewa na mataga jukwaani
Jiongeze kidogoooooo usiruhusu chuki zikutoe ufahamu.
Serikali ni taasisi na Utumbuaji hauna mwisho lakini uhai watendaji una mwisho
Waziri mkuu alitoa maagizo uchunguzi wa bandari December 2020 na haya ndio matokeo
 

Upigaji gani tena? Si tuliambiwa wapiga dili wote walimalizwa?
Kupiga ni utamaduni wetuuuuuuuuuu mradi usishikweee.Mandeleo hayana Chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…