Ndo aseme zilipo kama alimpa jiwe afanyie kampeni tujueInawezekana hajaiba mkurugenzi ila kwa sababu yeye ni top lazima awajibike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo aseme zilipo kama alimpa jiwe afanyie kampeni tujueInawezekana hajaiba mkurugenzi ila kwa sababu yeye ni top lazima awajibike
Mwenzio keshakufa huna la kufanya pole sanaAkili yako fupi unashindwa kung'amua kwamba kuna upande mmoja uliokuwa kando unarudi..
Kama sabaya.mizizi ya jiwe yote lzm iende naeKakoko alikuwa untouchable yule jamaa.
Inawezekana hata ww ulishakwenda....Mwenzio keshakufa huna la kufanya pole sana
Ukiangalia jinsi rais alivyomsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TPA ni uamuzi aliouchukua hapohapo baada ya kusomewa ripoti na CAG,sasa huyu kigogo alijuaje???..au kulikuwa na mipango ya mkurugenzi kutimuliwa kabla ya ripoti kusomwa??..huenda huyu kigogo anafanya kazi vizuri kabisa na serikali,baadhi ya viongozi wakubwa serikalini bila mzee pombe kujua..yaani rais alikuwa anazungukwa na wateuwa wake kwa maslahi Fulani!..
Dogo Jikite kwenye mada iliyopo mezaniInawezekana hata ww ulishakwenda....
limebaki kasha tupu.....
inabidi upelekwe hosp waka confirm kwamba ulishasepa....
Chamwino litapendeza mwenyekiti 🐒🐒🐵Napendekeza lijengwe chato au Chamwino au unashaurije makamu mwenyekiti🐒
Kwio hiyo kwioo 🦧System reboot hiyo kwio. Magu kamaliza upigaji hivyo mitano tena yani
Nafikiri wapinzani wote wamehamia CCM kumuunga mkono Raisi wetu Samia S. Hasan. Je! Nao wamenunuliwa? Twambie kama mmenunuliwa! Nyote kwa pamoja munamuunga mkono sasa na kufurahia alivyo anza!Bravo Mama yetu mpenzi. Yani hatuna mashaka na wewe kabisa katika utendaji na busara zako. Mungu amejua kutuona Watanzania.
Wewe inawezekana mngoni huyo mtani wanguUnawahi wapi mkuu... Mambi ndo nini!?
Tanzania port authority.TPA kirefu chake ni nini?
Tatizo itakuwa ya Jay z sasaNashauri Kigogo ajengewe sanamu
Majipu yaliyotengenezwa na JPM na kutetewa na mataga jukwaaniSafi sanaaaaa motooo ni uleule kutumbua majipu
Walikuwa wanakula wote na mpwa wake DottoKwa sifa anazopewa shujaa wetu wa Afrika ninashangaa kwanini hakuona huo uozo mapema!!
Jiongeze kidogoooooo usiruhusu chuki zikutoe ufahamu.Majipu yaliyotengenezwa na JPM na kutetewa na mataga jukwaani
Kazi inaendelea,mji wa Roma haukujengwa kwa siku moja.Mbona TRA hawajamlikwa?
TPA yahitaji kuendeshwa kijeshi mpaka inakapoweza kujitambua.
Kakoko asingeweza kudhibiti ubadhilifu, hujuma na wizi bandarini na ni mwepesi sana.
Kuna mtu amemtaja marehemu mzee Janguo lakini yule nae hakuweza kuthibiti TPA basi aliweza kusawazisha kulingana na serikali zilizokuwepo wakti ule.
Nasema hivi kwasababu mimi binafsi nimewahi kufanya kazi ya utoaji mizigo bandarini na naelewa matatizo haya yanoikumba TPA.
Mama Samia mteue mwanajeshi mwenye shahada ya uendeshaji asimamie shirika hili ambalo ni moja ya njia kuu ya mapato Tanzania.
Pili, serikali ikubali igharamie teknolojia katika bandari zetu na iondokane na paperwork. Pia kuwepo idara maalum ya ku-monitor kila tukio kuanzia meli inapotia nanga hadi mizigo inapokuwa "cleared".
Hali hiyo iwe pia kwenye uingizaji mafuta kule TIPPER.
Paperwork ni moja ya njia kuu za ubadhilifu kwenye bandari zetu ikiwemo bandari ya Daesaama.
Kupiga ni utamaduni wetuuuuuuuuuu mradi usishikweee.Mandeleo hayana Chama.Upigaji gani tena? Si tuliambiwa wapiga dili wote walimalizwa?
Aiseee we naye huwa uko moto....Kuna mtu tunahitaji kumfundisha adabu kabla ya April 26...ujinga aliofanya tar 13 usiku kuamkia 14 hauvumiliki..