Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao


Ni kweli kabisa kwamba kwa sasa kwenye nchi yetu hamna mpinzani anayeonekana kuwa na mvuto wa Urais, ila mnamdanganya sana Rais.

Fanyeni utafiti kwa kuuliza watu wa hali ya chini ambao ndio wapiga kura wengi,mtagundua kitu.
Watu wa Chini wa wapi Mzee? Kwani sie wa humu tuko juu?

Hujaona mikutano ya Rais maeneo aliyoenda? Usihangaike Sana na watu wa Mijini ambao huwa hawaelewi wanataka nini..

Just imagine huduma kama hizi,robo 3 ziko Vijijini na huko wanaofaidi ni wanavijiji na wamama ambao ndio wapiga kura haswaaa👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-203211.png
    87.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220815-163443.png
    93.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220814-111008.png
    180 KB · Views: 5
K

Kazi ipi Anafanya?
Zitaje nje ya kuomba mikopo ya kujenga madarasa na vyoo?
Naona umekata tamaa 😜😜😜😜

Nakuonyesha baadhi tuu..

maji,afya,Ruzuku,barabara Vijijini na Umeme ni yameshawamaliza Chadomo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-203211.png
    87.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220815-163443.png
    93.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220814-111008.png
    180 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220813-183141.png
    139.3 KB · Views: 4

Mimi nasema mkafanye utafiti muone wapiga kura wanamzungumziaje, wewe unaniletea vipicha vya propaganda.
Mimi nampenda huyo Mama ila siwezi kumdanganya, uungwaji mkono wake ni mdogo sana tena hasa kwa Wanawake.
Ni vile tu sasa hivi hatuna upinzani.
 
Na mimi nimekujibu kwamba,ulitegemea wapiga kura wa mjini imekukata Hata hivyo hata mjini sio wote wanashabikia upinzani sana sana wa mjini wanasema hatutaoiga kura maana tunajua Rais lazima apite huyu huyu 😬😬.

Kijijini huko kura zote ni za Rais Samia.Mwishi Nimekwambia huoni mikutano ya Rais akiwa ziarani?

Humu jf hamna wapiga kura ila kuna wapiga Domo..

Uliwahi ona wapi Mtanzania umpe Ruzuku ya Mbolea harafu asikupigie kura? Wapi uliona?
 
Kama mtoa mada hajatokea Mars au Jupiter, au mahala popote nje ya hii Dunia , Basi atakua mnafiki wa kiwango Cha standard gauge.

Kitaani ,wanawake wengi wanamanunguniko na makasiriko , Kila uchwao Khali ya chumi zawatu inazidi kua mbaya.

Ile pesa alioahidi kua itazunguka na kukaa mifukoni mwa watu Sasa imezidi kutoeka.

Michango mashuleni nayo nimwiba mwingine.
Walio pewa dhamana Huku chini wameshindwa kumsaidia nao wanaungana na wananchi kulalamika.

Kagera kapigania kahawa vanilla imekosa soko wakati tunaambiwa soko la "Dunia "(sijui likowapi) Bei kg1 ni kati 600000 Tsh na 1000000 Tsh

Mahindi yamezidi kupanda Bei walitegemea Serikali itende jambo,Cha ajabu wanaona kimya.

Magara ya NFRA ,yanavyo zidi kusafishwa Hasira zinazidi kuwajaa , eti kwa sababu hakuna mavuno yakutosha kureplace.

Wanaenda mbali zaidi nakudai, ninafuu mara [emoji817] ingekua imenunua Serikali ya Kule yanako kwenda kiriko kununuliwa na WA fanyabiashara.
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Mh mama Samia suluhu Hassani 2025 usidanganyike kuchukua fomu utaaibika.
CCM viongozi wanakundanganya , CCM wanachama wanakusema vibaya mno.
Sabuni ya Kufulia nguo kipande ni Tsh 1,200 /=
Kwa vile naye ni mswahili anajaza maneno matamu kuwa anapendwa huku watu wanasombwa kwenye malori kwenye mikutano yake
 
Lazima ashinde

Tz hakunaga uchaguz kwanza

Ova
 
Kila kitu kimepaa balaa
 
Labda Zanzibar unafikiri Watanganyika wataendelea kudanganyika??
 
Mimi nasema mkafanye utafiti muone wapiga kura wanamzungumziaje, wewe unaniletea vipicha vya propaganda.
Mimi nampenda huyo Mama ila siwezi kumdanganya, uungwaji mkono wake ni mdogo sana tena hasa kwa Wanawake.
Ni vile tu sasa hivi hatuna upinzani.
Huo utafiti ungeasaidia Nyie Chadomo kushida uchaguzi..

Kama huamini unataka utafiti utaupata vizuri 2025.
 
Umesema kweli tupu.
 
Mheshimiwa Pascal Mayalla sasa ndio uamini niliposema kuwa Jamiiforum imevamiwa na watu waj.... ambao wanadhani JF ni kusanyiko la waj.... kwamba unaweza kuwaletea chochote nao wakapokea na kumeza kama kawaida.
Hii taarifa (maana sio hoja) hata angepelekewa Shaka Hamduni katibu mwenezi ataikataa moyoni kuwa ni propaganda za kitoto zisizo na kiwango kabisa.
Kuna kauli ipo pale Upendo Media kwenye tamasha lao la juzi imenitafakarisha sana, "WAZAMANI SIO WA SASA" tafakari
 
Umesema kweli tupu.
 
Ni kweli tupu,usemayo.
 
Hakuna wa kushindana na mh Rais Samia suluhu Hassani kwa Sasa, kaudhoofisha Upinzani kwa kuchapa kazi bila kupumzika, kwa Sasa uungwaji mkono wa watanzania kwa mh Rais wetu Ni mkubwa Sanaa
Ni kweli tupu.Wananchi tuko na Rais wetu,tunamuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…