residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
"Kwa Sasa wapinzani na upinzani umepokwa hoja zote kwa mh Rais kufanyia kazi Kero mbalimbali zinazokuwa zinawatesa wananchi, watu wanaona juhudi za mh Rais katika kuboresha maisha yao, watu wanaona Rais anavyokosa hata muda wa kupumzika ili watanzania wapate maji Safi na salama, Elimu Bora, umeme wa uhakika na Bei nafuu, huduma za Afya zilizo Bora"Hapana ndugu yangu, Naomba uelewe kuwa siyo tume inayokupigia kura, Bali wananchi ndio wanaokupigia kura, utapigiwa kura endapo una Sera na ajenda zinazo gusa maisha ya watu,
Kwa Sasa wapinzani na upinzani umepokwa hoja zote kwa mh Rais kufanyia kazi Kero mbalimbali zinazokuwa zinawatesa wananchi, watu wanaona juhudi za mh Rais katika kuboresha maisha yao, watu wanaona Rais anavyokosa hata muda wa kupumzika ili watanzania wapate maji Safi na salama, Elimu Bora, umeme wa uhakika na Bei nafuu, huduma za Afya zilizo Bora
Sasa utawaambia Nini watanzania juu ya mama Samia wakakuelewa kwa Sasa, utaanzaje kuwakusanya watanzania wamzomee Rais wao ambao kwao Ni mkombozi katika maisha yao
Watanzania wanaona namna mh Rais alivyo msikivu, Namna alivyo na Roho ya huruma Jambo linalomnyima usingizi akiona Kuna watu wanahitaji maji au kituo Cha Afya eneo fulani, Ndio maana unaona anavyopambana kuhakikisha kila Senti inayopatikana inakwenda kupunguza kero kwa wananchi
Hayo maandishi hapo juu ni uongo wa hali ya juu.
Baba wa uongo ni shetani.
Wewe ni baba wa uongo.
Wewe ni ...