Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Kweli kabisa hasa ukiwa na "Road Map" iliyotengenezwa na mtu makini kama JPM yaani spidi inakuwa kama kumwangusha mlevi vile!!!
Hilo halipingika mkuu....

Na ndio maana mh.Rais SSH anasema YEYE NI MAGUFULI NA MAGUFULI NI YEYE.... kiutekelezaji....hata kama hawatofanana 100%.....
 
Siasa za maji taka hizi. Rais amezitoa wapi hizo fedha??? ana miradi ya familia inayosaidia nchi??? Fedhazinatoka kwa wananchi,mbona msiwapongeze wananchi???? Kila mradi ukifanyika eto rais..alichaguliwa akaja na fedha??? Si mpenzi wa siasa,ila hili hapana, rais ha donate, anawakibika kutoa uwajibikaji kwa mapato kutoka kwa wananchi na sources zingine, ukome kujipendekeza
 
Duniani kote FEDHA ZA NCHI ni Kodi ya wananchi....iwe nchi zenye Vita na machafuko Kama Somalia , Ethiopia na Eritrea.....

Mathalani nchini DRC kumekuwa na maendeleo haba ya ujenzi wa barabara zinazounganisha mikoa yao pamoja na utajiri mkubwa wa MADINI GHALI...hapa umekosekana UTASHI WA KISIASA...UTASHI WA KIUTAWALA......
 
Rais ni taasis hata wewe ni sehemu ya Rais,

Rais ndio budget advisor

Rais ndio budget proposer
 
Unaakili kubwa sana wewe Jumbe Brown
Tatizo la Watanzania ni Elimu tu
Samia atawateaa sana hawa pingapinga
 
Unaakili kubwa sana wewe Jumbe Brown
Tatizo la Watanzania ni Elimu tu
Samia atawateaa sana hawa pingapinga
🤣🤣Shukran mkuu wangu.....

ELIMU ELIMU ELIMU.....

Hapa kijiweni kwenye kahawa nimetoka kumueleza kijana nguli wa CHADEMA kuwa mh.Rais SSH atawatesa sana....mno.... kwa ubora wake kisiasa............kwa sababu yeye ni kama JPM(utashi wa kutekeleza miradi ya maendeleo) ila yeye ni mpole ,mtulivu na msikivu zaidi ya JPM(socially)....mathalani ndani ya miaka 6 wananchi walikuwa wanalalamikia haya:-

1)Ajira kwa vijana....ndani ya muda mfupi AMEAJIRI vijana zaidi ya 8000(TAMISEMI+WIZARA YA AFYA)....

2)Kupandisha madaraja watumishi wa umma na kuwaahidi nyongeza za mishahara ifikapo mwaka wa fedha 2022/2023......

3)Kufuta RETENTION FEE 6% ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu(HESLB)...

NI MENGI MNO MKUU🤣🤣
 
Eeeh hii sasa mama anakwenda vizuri,
Mimi nitamuunga mkono tu huyu mama japo mimi ni chadema
 
Namshauri ndugu january makamba akomae akamilishe huu mradi kwa weredi mkubwa..... Ukamilike kwa haraka...atapata point kubwa ya kuupata urais hapo baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…