Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Pamoja sana kiongozi endelea kutusaidia humu wengi tuko gizani
Pamoja mkuu wangu πŸ‘

Endelea kuuzungumza ukweli...tuendelee kuuzungumza ukweli na kutoana gizani....

Ukweli una kawaida ya KUPANDA NGAZI(taratibu).....

Mh.SSH na serikali sikivu ya awamu ya 6 itaendelea tu KUELEWEKA VYEMA......πŸ‘πŸ’ͺ😍
 
Kuna watu wamemwacha Mungu wamemfanya kuwa Mungu wao
Wanamwabudu kila Siku,Mungu hapendi kumtegemea mtu Chadema sihami na mama simuachi mpaka 2030 kikubwa uhai
🀣🀣Aaaamin aaaamin kaka....wewe ni mzalendo mno.....wewe ni muelewa mno kuwazidi wapingaji akina BAK , ERTHROCYTE,MMAWIA et al
 
Huu mradi ulikuwa mgumu kuanza kule! Mtu kama Samia na the way anawaangalia wale mabepali asingeweza kuufanya! Ata angekuta ndo atafutwa mkandarasi asingeweza kuendeleanao.
Hakuna kigumu kwenye pesa huyo mtu wetu pesa zilimwishia akina Salum Mbuzi wakaondoa magreda yao akawapelekea polisi wanamiliki Silas, tunajua sana
 
Chama changu tumezidi wizi na uzinzi Mungu alituacha
 
Namshauri ndugu january makamba akomae akamilishe huu mradi kwa weredi mkubwa..... Ukamilike kwa haraka...atapata point kubwa ya kuupata urais hapo baadae
🀣🀣 Ha ha ha

Huo mradi unakwenda kukamilika haraka mno....mwezi wa 7 serikali imewapa TRILIONI 2.5 Arab Contractors Kati ya TRILIONI 6.5 za kuukamilisha mradi....mhandisi mkazi Mushubila Kamuhabwa anasema kuwa WAMESHAKAMILISHA HATUA ZOTE 8 kuuendea huo mradi....

Kufikia Juni 2022 Arab Contractors wataukamilisha wote πŸ’ͺ
 
Kama kweli hayo usemayo basi Takukuru wamchunguze ametoa wapi hela zote hizo!!!
Kama nikodi zetu na bunge limeidhinisha ziende Jnhpp basi heko kwetu sote watz na tujiombee mema zaidi!!
Mletahoja tuliza kujipendekeza kisho... utajatafunwa kibo...!!
 
😳😳Duuuh kumbe eee....

Ndio maana mh.Mdee akaamua yale(wabunge 19) baada ya kuchoka viti maalum kupangwa kiupendeleo eee?!!!
Chama changu tumezidi wizi na uzinzi Mungu alituacha
 
Kama kweli hayo usemayo basi Takukuru wamchunguze ametoa wapi hela zote hizo!!! Kama nikodi zetu na bunge limeidhinisha ziende Jnhpp basi heko kwetu site watz na tujiombee mema!! Mletahoja tuliza kujipendekeza kisho... utajatafunwa kibo...!!
Mkuu mbona lugha za matusi tena?!!😳🀣

Kwa hiyo kusema ukweli juu ya mradi huo ndio kutengeneza mazingira ya kufanywa "machafu"?!! Mmmh
 
Mkuu mbona lugha za matusi tena?!!😳🀣

Kwa hiyo kusema ukweli juu ya mradi huo ndio kutengeneza mazingira ya kufanywa "machafu"?!! Mmmh
Tumechoka siasa za kishamba MTU mmoja anasifiwa kwakila kinachofanyika kwakodi zetu!! Kumfanya MTU muungu MTU niushamba wakipumbafu unaostahili matusi tena yakimarekani yalee ...
 

Siyo ungekomelea kabisa kuwa heri bwana yule alipata promotion kuwa MK - malaika kiongozi?
 
Huu mradi ulikuwa mgumu kuanza kule! Mtu kama Samia na the way anawaangalia wale mabepali asingeweza kuufanya! Ata angekuta ndo atafutwa mkandarasi asingeweza kuendeleanao.
Ndio maana naamini kabisa, JPM alikuja kwa malengo yake. hakutakiwa kufanya kila kitu na kuna sehemu nyingi ilikuwa vurugu tupu, ila hili la kuthubutu kufanya hii miradi, litakumbukwa daima. Rest in eternal peace JPM.
 
Kwa sasa mmeshamsahau hata Alie thubutu kuanzisha mradi huu ulio kuwa umewaogopesha kwa miaka dahar,mmm lakini sio tabu maana nyumbani kwao na unafiki Ni hukohuko mnakoishi ubayani ccmstreet πŸ’”πŸ‘ƒ
 
Siyo ungekomelea kabisa kuwa heri bwana yule alipata promotion kuwa MK - malaika kiongozi?
JPM alikuwa muafaka kwa kipindi kile. Ndio maana alikuwa Rais. Uzuri ni kuwa kila mtu anaruhusiwa kuitazama dunia na mambo yake, vile anavyoona inafaa.
Kwenye maendeleo na kutuvuruga vichwa ili tufikirie maendeleo, he was the man. Kudai kodi...siasa za mbadala...he wasn't meant for that πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜πŸ‘
 
Hongera late John Pombe Magufuli kwa kusimama kiume katika kuanzisha hili! Heri tutesekee maendeleo kuliko kutesekea ufisadi wa familia chache za watu walioko kwenye system wakati wao wakiinjoy maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…