Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Huyo meko, licha ya kujifanya hasafiri nje ya nchi lakini msafara wake wa ndani unaweza kuwa ulikuwa na gharama karibu sawa tu na hizo, wewe magari zaidi ya 50, helcopter juu, mawaziri karibia wote, yanatoka dodoma hadi chato!!alikuwa anawapumbaza tu watu wajinga, eleweni tu hii ni awamu nyingine, anawatia ujinga tu eti yeye na meko ni kitu kimoja!!ona wakenya wanavyomsubiria kwa hamu, na yote ni kutokana na madhara ya meko, aliyosababisha.
 
Shinikiza maandamano.
 
Rais ana washauri wanaomshauri . Tumuache Rais na Serikali yake wafanye kwa njia zao . Sio lazima atumie njia za Mtangulizi wake kama unavyotaka wewe.
 
Wakati anakaribia kuingia kwenye ndege,akageuka,aka bend kidogo kama ishara ya unyenyekevu huku akiaga nikafikiria kiongozi MKUU kama yeye ni sawa kufanya hivyo kwa "surbodinate" wake? wenye kujua mambo ya protocol mtujuze.
... Samia anajua sana kwamba yeye ni mwanadamu kama walivyo wengine vyeo visimpe kiburi kwani ni dhamana tu aliyobahatika kupewa among millions! By the way, pale alikuwa hawaagi sub-ordinates bali watanzania na Tanzania ndio maana aka-bend kwa unyenyekevu kwa nchi yake sio yule mwingine "MNYENYEKEVU" kwenye mabango wakati rohoni ...

Lakini Bwana Yesu alipowaosha wanafunzi wake miguu alijidhalilisha? Hasha; aliwapa somo kwamba aliye mkuu kati yao na awe mtumishi wa wengine!
 
Rais ana washauri wanaomshauri . Tumuache Rais na Serikali yake wafanye kwa njia zao . Sio lazima atumie njia za Mtangulizi wake kama unavyotaka wewe.
... huyo jamaa aombe japo kibarua cha ulinzi wa kaburi maana inaonekana yuko obsessed sana marehemu.
 
Nipo hapa naangalia KTN kwenye kipindi (LEO MASHINANI) naona wameweka Kipindi cha ZIARA YA RAIS SAMIA.
Wanamponda sana Mwendazake na kumsifia Mama Samia.
Si kwamba wanamponda,wanasema ukweli. Jamaa alikuwa sio kabisa
 
Leo kapokewa na waziri wa mambo ya nje wa Kenya,safari zikizidi atakuja kupokelewa na mkuu wa mkoa au mkuu wa Nairobi Library.
... Samia ni mwanamke tena yuko kwenye mfungo. Mila na desturi za mahalia sometimes huzingatiwa acha kwenda kwa mazoea.
 
Mmmh duh...hahahaha wajinga na wasaliti wapo wengi...
 
ni mategemeo yetu kuwa ziara yake itafufua mahusiano mazuri zaidi, ya kibiashara,

pande zote zinufaike. Mutual benefits.

kwa takwimu za sasa zinaonyesha kenya ina export zaidi bidhaa zake kwa nchi ya Tanzania kuliko inavyo import bidhaa za Tanzania, jambo hili halina manufaa, sasa ni wakati kwa nchi zote ku balance masuala ya kibiashara ili nchi zote zinufaike sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…