Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Una akili timamu?Awamu moja ni miaka mitano, sasa yy atarun kwa miaka mitano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili timamu?Awamu moja ni miaka mitano, sasa yy atarun kwa miaka mitano?
Kuna makitu hapa hayaelewi somo..kilichotokea ni sawa na useme mwanafuzni wa darasa la tatu...hakuendelea na masomo baada ya kuumwa mwaka 2020, anakuja kuendelea na masomo mwaka 2021 hii haimpi nafasi ya kurukia darasa la nne..wakati la tatu hajamaliza..so ataendela pale alipoishiaAwamu ya tano, Rais wa sita.
Awamu ya tano ktk utaratibu wa nchi yetu kuwapata viongozi haijaisha.
Suala la kauli mbiu haliko kwenye katiba, na hata anayeweka kauli mbiu anaweza kuibadili hata mara kumi ndani ya awamu yake.Kauli mbiu ya awamu ya sita ni ipi?
kila awamu ina kauli mbiu yake.
mfano Ujamaa na Kujitegemea Nyerere.
Ruksa mzee Mwinyi....
Uwazi na Ukweli Mkapa.
Hari Mpya Kasi mpya Kikwete.
Hapa kazi tu Magufuli
Kwani wana shida gani?? So far wameachwa ili wachape kazi. Au una kimeo chako pending somewhere.... So unawaogopa???🤣Nimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
Nimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
[IMG alt="areafiftyone"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/407/407721.jpg?1595674912[/IMG]Nimemsikia hata mimi,ila inatafakarisha kweli kweli.Maana awamu ni miaka mitano,na Rais wa kila awamu huwa anachaguliwa kwa sanduku la kura.
Mimi nilidhani huyu ni Rais wa sita, ila awamu ni ya tano!Labda tungepata ufafanuzi wa kisheria kutoka kwenye vyombo vyetu vya sheria,maana nilisikia mwanasheria mmoja aliyekuwa amealikwa TBC akisema hii ni awamu ya tano.
Anyway ni ya tano au ya sita sio issue sana,wananchi tunachotaka ni kupiga hatua kimaendeleo.
Hahahaha mm sio mzeeMzee..hivi unasoma katiba ama unafikiri kwa kutumia makwapa!? Haijalishi kuendelea ama kutokuendelea kwake..awamu huwa inahesabiwa kwa.miaka 10 ,mitano ya kwanzA na mitano ya pili ...ndio awamu inakuwa imeisha...kasome katiba uieleewe
Kumbe awamu ni mtu sio ilani!?Yuko sahihi hii ni awamu ya sita ya tano ilikuwa ya mwendazake.
Hiyo awam umeitoa wapi?Naona unachanganya matikiti na matango,tunaita awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere kutokana na kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake yeye ndie alikuwa raisi pekee na ndio maana tunasema kipindi cha utawala wake wote awamu ya kwanza,alipokuja Mwinyi katawala miaka 10 hiyo ni awamu ya pili na vivyo hivyo kwa kipindi hiki ni awamu ya tano hadi 2025 ndio atakayekuwa raisi atakuwa wa awamu ya sita. Mambo ya kusema tukiwa huru ni yako na familia yako Tanzania tumekuwa huru kuanzia 1961 pale bendera ya mkoloni iliposhushwa na bendera ya Tanganyika ikapandishwa juu tena kileleni mwa Mlima Kilimanjaro na Kapteni Nyirenda.
Ilani haina awamu, kwanza neno awamu halipo kwenye katiba na si neno rasmi, ni watu waliamua kulitumia kutofautisha vipindi vya uongozi. Neno hilo hutumika kielezea idadi ya Ma Rais so SSH ni Rais wa sita kwahiyo awamu yake ni ya sita.Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.