AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Aisee ..soma vizuri kisha uchanganue vyema mzee..mama ni Rais wa Sita katika Serikali ya awamu ya tano ambayo kimsingi ukomo wake ni 2025...akitokea akagombea tena 2025 atakuwa Rais wa Sita katika Serikali ya awamu ya Sita...2030 Rais ajaye atakuwa Rais wa Saba katika awamu ya Sita.Awamu sio ilani ya chama chochte awamu nikipindi cha raisi aliowekwa na katiba,hivo inayozaa awamu ni katiba na katiba ina itearm awamu Kama mtu(raisi) anaeongoza serikali hamna tafsiri kwamba awamu lazima iwe miaka mitano au kumi ila imeeleza kuwa raisi ataruhusiwa kushika miaka mitano ataingia Tena kwene uchaguzi na anaweza ruhusiwa kuendeleza mitano Tena....hivo katiba yetu imeeleza namna raisi atakavopatikana ni kwa uchaguzi au Kama alivoingia samia...hivo katiba hairudi nyuma inamtambua mtu,magufuli is gone awamu yake imeishia pale alipoishia, samia nae ni raisi mpya kwa nguvu ya katiba na sio kwa ilani ya ccm...
Mathalani..uchaguzi wa 2020, Angeshinda Tundu Lissu angekuwa Rais wa Sita katika awamu ya tano BADO..na Magufuli angekuwa Rais wa awamu ya tano kwa miaka mitano tu.
Refer USA , Biden ni Rais wa 46 katika awamu ya 44 Kama sikosei..na Trump alikuwa Rais wa 45 katika awamu ya 44, uchaguzi ujao Trump akigombea akashinda anakuwa Rais wa 47 katika awamu ya 45 na akishinda Biden tena atakuwa Rais wa Rais wa 46 katika awamu ya 44.