Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Awamu sio ilani ya chama chochte awamu nikipindi cha raisi aliowekwa na katiba,hivo inayozaa awamu ni katiba na katiba ina itearm awamu Kama mtu(raisi) anaeongoza serikali hamna tafsiri kwamba awamu lazima iwe miaka mitano au kumi ila imeeleza kuwa raisi ataruhusiwa kushika miaka mitano ataingia Tena kwene uchaguzi na anaweza ruhusiwa kuendeleza mitano Tena....hivo katiba yetu imeeleza namna raisi atakavopatikana ni kwa uchaguzi au Kama alivoingia samia...hivo katiba hairudi nyuma inamtambua mtu,magufuli is gone awamu yake imeishia pale alipoishia, samia nae ni raisi mpya kwa nguvu ya katiba na sio kwa ilani ya ccm...
Aisee ..soma vizuri kisha uchanganue vyema mzee..mama ni Rais wa Sita katika Serikali ya awamu ya tano ambayo kimsingi ukomo wake ni 2025...akitokea akagombea tena 2025 atakuwa Rais wa Sita katika Serikali ya awamu ya Sita...2030 Rais ajaye atakuwa Rais wa Saba katika awamu ya Sita.

Mathalani..uchaguzi wa 2020, Angeshinda Tundu Lissu angekuwa Rais wa Sita katika awamu ya tano BADO..na Magufuli angekuwa Rais wa awamu ya tano kwa miaka mitano tu.

Refer USA , Biden ni Rais wa 46 katika awamu ya 44 Kama sikosei..na Trump alikuwa Rais wa 45 katika awamu ya 44, uchaguzi ujao Trump akigombea akashinda anakuwa Rais wa 47 katika awamu ya 45 na akishinda Biden tena atakuwa Rais wa Rais wa 46 katika awamu ya 44.
 
Naichukulia awamu ni kama safari ya basi kutoka Dar- Tandahimba!
Ni kama dereva wa basi akipatwa na la kumpata njiani, afu utingo ashike usukani, huwezi iita hiyo kuwa ni safari mpya au nyingine, unless urudi ulikotoka na kuiandaa nyingine!
Kama mnakerwa sana na kuitwa awamu ya tano
Basi tuiite 'awamu ya tano-sita! Maana inatekeleza maono na ilani ya awamu ya tano!
Kwa sasa tofauti ni kama utingo ndie anayeendesha basi letu la safati ileile ya kwenda Tandahimba😂🤣😂!
Mapuvu ni ruksa😂😂😂!
Wewe ndio wale wasiojua chochote.mnaaminishwa na hao wanaojiita Sukuma gang.Hii ni awamu ya sita na wala haitofuata sera za hayati magufuli.Kama huitambui serikali ya awamu ya sita(6) badilisha uraia.
 
Zipi hizo mkuu!

Hizi, ni kwa hisani ya bwana mmoja wanamwita "Jo" siku za karibuni kiajizolea sifa nyingi kuhusiana na uelekeo wa dishi lake:

Hiiiiii bagosha!
 
Naichukulia awamu ni kama safari ya basi kutoka Dar- Tandahimba!
Ni kama dereva wa basi akipatwa na la kumpata njiani, afu utingo ashike usukani, huwezi iita hiyo kuwa ni safari mpya au nyingine, unless urudi ulikotoka na kuiandaa nyingine!
Kama mnakerwa sana na kuitwa awamu ya tano
Basi tuiite 'awamu ya tano-sita! Maana inatekeleza maono na ilani ya awamu ya tano!
Kwa sasa tofauti ni kama utingo ndie anayeendesha basi letu la safati ileile ya kwenda Tandahimba[emoji23][emoji1787][emoji23]!
Mapuvu ni ruksa[emoji23][emoji23][emoji23]!
Awamu Ni rais, magu hata Angekaa Hadi 2040 awamu take ingeendelea kuitwa ya 5,na mama Samia mwenyewe amesikika akiongea hii Ni awamu ya 6, tuachane na mawazo ya awamu ya 5, Kama bado huamini mfuate mwnda zake huku tushamalizana naye,akiwa na hojs atujie ndotoni atufokee

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Wana bodi nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241]!!! Naomba hili ninalolitamka hapa liwekwe pia kwenye Hansard za Bunge na Ofisi ya Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa JMT.

Kumekuwa na upotoshwaji usio na msingi kutamka ya kwamba hivi sasa tupo katika awamu ya sita ya Uongozi/Utawala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitu ambacho si Kweli. Ukweli ni kwamba baada ya kustaafu kwa Mwalimu JK Nyerere Katiba ilitamka wazi kuwa Rais yeyote ataweza kuhudumu kwa mihula miwili tu ya miaka mitano mitano kwa kupitia sanduku la kura.

Awamu moja ya uongozi ina maana miaka 10 ya Rais husika mara baada ya kushinda chaguzi zote mbili za kuwania Urais. Hayati Magufuli alikuwa Rais wa tano wa JMT na alikuwa akihudumu katika miaka yake mitano ya mwisho ya awamu yake ya Tano!!

Hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya Rais JP Magufuli kufariki; Mama Samia kwasababu alikuwa makamu wa Rais moja kwa moja alipewa (Bila Uchaguzi) nafasi ya kushika nafasi hiyo ya Urais ili kuamlizia uongozi wa miaka mitano ya mwisho ya awamu ya Tano.

Kwa unyambulifu huu Mama Samia ni Rais wa Sita anaehudumu awamu ya tano ya Uongozi wa Nchi! Na lazima tukumbuke Awamu za uongozi wa nchi hii huanza kwa kufanyika Uchaguzi Mkuu na Vyama kuuza ilani ya Uchaguzi!!

Kwa Mama Samia hakukuwepo na uchaguzi wala unadi wa sera za Chama; kwa sababu Uchaguzi ulishafanyika na Ilani inajulikana; yeye Mama anachofanya sasahivi ni kukamilisha Utawala/Uongozi wa awamu ya Tano tu ila akiwa Rais wa Sita. Awamu ya Utawala/Uongozi wa Awamu ya Sita utaanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, na Rais atakaechaguliwa atakuwa Rais wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Bilashaka Tumeelewana. Makosa ya kutaja hii ni
Awamu ya Sita Yasijirudie tena.
Naomba kuwasilisha.
 
Wana bodi nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241]!!! Naomba hili ninalolitamka hapa liwekwe pia kwenye Hansard za Bunge na Ofisi ya Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa JMT. Kumekuwa na upotoshwaji usio na msingi kutamka ya kwamba hivi sasa tupo katika awamu ya sita ya Uongozi/Utawala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitu ambacho si Kweli. Ukweli ni kwamba baada ya kustaafu kwa Mwalimu JK Nyerere Katiba ilitamka wazi kuwa Rais yeyote ataweza kuhudumu kwa mihula miwili tu ya miaka mitano mitano kwa kupitia sanduku la kura. Awamu moja ya uongozi ina maana miaka 10 ya Rais husika mara baada ya kushinda chaguzi zote mbili za kuwania Urais. Hayati Magufuli alikuwa Rais wa tano wa JMT na alikuwa akihudumu katika miaka yake mitano ya mwisho ya awamu yake ya Tano!! Hivyo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya Rais JP Magufuli kufariki; Mama Samia kwasababu alikuwa makamu wa Rais moja kwa moja alipewa (Bila Uchaguzi) nafasi ya kushika nafasi hiyo ya Urais ili kuamlizia uongozi wa miaka mitano ya mwisho ya awamu ya Tano. Kwa unyambulifu huu Mama Samia ni Rais wa Sita anaehudumu awamu ya tano ya Uongozi wa Nchi! Na lazima tukumbuke Awamu za uongozi wa nchi hii huanza kwa kufanyika Uchaguzi Mkuu na Vyama kuuza ilani ya Uchaguzi!! Kwa Mama Samia hakukuwepo na uchaguzi wala unadi wa sera za Chama; kwa sababu Uchaguzi ulishafanyika na Ilani inajulikana; yeye Mama anachofanya sasahivi ni kukamilisha Utawala/Uongozi wa awamu ya Tano tu ila akiwa Rais wa Sita. Awamu ya Utawala/Uongozi wa Awamu ya Sita utaanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, na Rais atakaechaguliwa atakuwa Rais wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bilashaka Tumeelewana. Makosa ya kutaja hii ni
Awamu ya Sita Yasijirudie tena.
Naomba kuwasilisha.
Kila mtu anasema lake,Mr Nduga yai anasemaje?
 
MATAGA bado hawakubali, wanaendeleza legacy ya mwendazake.
 
kwan awam moja huwa na midterm??? awamu ni idadi ya maraisi au vipindi vya uchaguzi wa raisi labda sielewi na mataga hawaelewi, viongozi hawaelewi,wananchi hawaelewi sisi HATUELEWI TUELEWESHANE
 
MATAGA bado hawakubali, wanaendeleza legacy ya mwendazake.

Hakuna cha MATAGA hapa!! Hio ndo hali halisi Awamu moja ya uongozi wa nchi hii maximum period ni 10 years!! ikigawanywa kwa vipindi vya miaka 5 mi 5!! Mind you Na hii ni baada ya Uchaguzi Mkuu!! Sio urithi wa Madaraka. Rais JPM akiwa Rais wa 5 katika awamu ya tano ya utawala kafariki akiwa katika second term yake!! Mama Samia kapewa Kikatiba Kabisa kumalizia awamu hii ya 5 ya utawala mpaka hapo Uchaguzi mwingine Mkuu 2025 utakapofanyika!! Kwa hiyo Mama Samia ni Rais wa 6 anaehudumu katika awamu ya 5 ya utawala wa Nchi. Awamu ya sita itaanza 2025 Baada ya Uchaguzi Mkuu!! Na Rais atakuwa Rais wa 7 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Nini ambacho huelewi Jombaa!!
 
Magufuli alipokufa awamu yake iliishia pale sasa tunaye rais wa awamu ya sita, poleni sana Sukuma gang tunajua mmeumia lakini hatuna cha kufanya tunaendelea na awamu ya sita.

Mkuu Awamu za uongozi za Nchi hii zinabadilishwa na Uchaguzi Mkuu tu!! Mama kashika kijiti kumalizia Ngwe ya 5!! Wabongo vichwa ngumu sana kuelewa!! Daah!!!
[emoji2307][emoji2307][emoji2307]
 
Hakuna cha MATAGA hapa!! Hio ndo hali halisi Awamu moja ya uongozi wa nchi hii maximum period ni 10 years!! ikigawanywa kwa vipindi vya miaka 5 mi 5!! Mind you Na hii ni baada ya Uchaguzi Mkuu!! Sio urithi wa Madaraka. Rais JPM akiwa Rais wa 5 katika awamu ya tano ya utawala kafariki akiwa katika second term yake!! Mama Samia kapewa Kikatiba Kabisa kumalizia awamu hii ya 5 ya utawala mpaka hapo Uchaguzi mwingine Mkuu 2025 utakapofanyika!! Kwa hiyo Mama Samia ni Rais wa 6 anaehudumu katika awamu ya 5 ya utawala wa Nchi. Awamu ya sita itaanza 2025 Baada ya Uchaguzi Mkuu!! Na Rais atakuwa Rais wa 7 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Nini ambacho huelewi Jombaa!!

Asipoangalia mtu safari hii, hatagi tena.

Kila mtuhumiwa na CAG kwenye hilo la BOT mama kimbiza kabisa wala usifukuze tu. Huyo hata kama ni Mpango.

Wapo ambao kumbe bado hawajakuelewa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!

Awamu za uongozi wa Nchi hii hutokana/hubadilika kufuatia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais,wabunge n Madiwani ambapo chama hupewa ridhaa ya kuongoza Nchi kupitia Mgombea wake (ambae atakuwa ndo Rais) baada ya kuvishinda vyama vingine!! Mantiki ya awamu ya sita hapo haipo kwasababu hakuna Uchaguzi uliofanyika!! Na pia ilani inayotekelezwa hivi sasa ni ya awamu ya 5!! Huwezi sema hii ni Awamu ya Sita wakati unatekeleza ilani ya Awamu ya Tano!!! Mama ni Rais wa Sita katika awamu ya 5!! Na hapa anakamilisha hatua yao ya 5 kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025. Awamu ya Sita itaanza October 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu Na Rais atakaepatikana atakuwa Rais wa 7 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Period!!
 
Sasa kuzungumza mambo ya awamu ina uhusiano gani na maendeleo yasio na vyama au marekebisho nayo ni maendeleo?
Kwa akili ndogo huwezi kumuelewa ila huo ni ujumbe tosha kwa wale waliokuwa wanajiondoa ufahamu kana kwamba amemshikia tu mtu!!
 
JPM aliongoza serikali ya awamu ya tano, Je, Mama Samia anaongoza serikali ya awamu ya ngapi?
Je, ni nini kinachotenganisha kati ya awamu moja na nyingine?

Kinachotenganisha ni Awamu Uchaguzi Mkuu!! Mpaka sasa bado tupo Awamu ya tano ila Rais ni wa Sita!! Anamalizia Muda wa mwendazake! Then Baada ya Uchaguzi ujao 2025 tutaingia Awamu ya 6!! Ukiangalia kwa undani zaidi kama mama ataendelea kukubalika vizuri namuona akihudumu kwa miaka 15!! Maana anaweza sema hii Awamu alishikilia kijiti cha Mwendazake Awamu yake ya kwanza itaanza October 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu.
Time will Tell.
 
Sasa kama mama kasema hii ni awamu ya sita wewe ni nani kutuambia hii ni awamu ya tano? Tena usishupaze shingo mpaka akajua kuna watu kama nyingi, ndio atafutilia mbali hio legasi sijui legasi
Kwanza jambo lenyewe la awamu haliko mahali popote kwenye katiba wala sheria. Ni mtu mmoja tu alilitunga nyie mkaruka nalo, awamu awamu. Kama mama kasema ni awamu ya sita basi tembea na hilo. Mwenye awamu hata akiwa kaletwa kwa kuhongwa na rais aliyepo madarakani huyo ni rais halali taga. Nani kakwambia rais ni mpaka sanduku la kura. Kwa sasa raisi wa JMT ni Samia ambaye amesema hii ni awamu ya sita. AWAMU YA SITA
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Hii ni serikali ya Awamu ya Tano, Awamu zinaendana na uchaguzi, Awamu ya Tano Rais wa Pili, Awamu ya Sita angoje uchaguzi 2025.
 
Kauli mbiu ya awamu ya sita ni ipi?

kila awamu ina kauli mbiu yake.

mfano Ujamaa na Kujitegemea Nyerere.

Ruksa mzee Mwinyi....

Uwazi na Ukweli Mkapa.

Hari Mpya Kasi mpya Kikwete.

Hapa kazi tu Magufuli
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI INAENDELEA
 
Back
Top Bottom