Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Mkutano wa COP 26 Nchini Scotland

Amsalimie Didier...Drogba akipita UKπŸ’
 
Kama hakuna watu wanaotekwa, kuteswa na kuokota maiti kwenye viroba. Kama kuna uhuru Mpana wa kukosoa, utawala wa sheria na hakuna kamata kamata kwa sababu ya kumkosoa rais, acha asafiri.

Kikubwa watumishi wapandishwe madaraja, aongeze mishahara na kuongeza ajira. Pamoja na nayo aongeze miradi ya maendeleo kwenye sekta za afya, miundombinu, elimu, nishati nk.

Kama atafanya hayo asafiri anavyoweza.
 
Yah lazima aende akajichanganye na wenzake

Aone dunia inaendaje dunia inataka nini

Ova
Jamani tatizo ni gharama safari moja inaghalimu mamilioni na hizi tozo zitazidi hivi punde tutaanzishiwa tozo ya madaftari kwenye maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…