peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Haendi na ndege ya serikali, and huo mkutano wakuu wengi wa nchi wanahudhuria! What do you want guys? Rais asiposafiri mnamuita mshamba, akisafiri mnasema anapenda kusafiri? Mnataka nini for your country? Hamueleweki kabisa...And kuhusu kuwakilishwa unadhani Biden, Boris, Rais wa WB watabother na muwakilishi wa Rais??Kabisa mkuu mama anapenda safari Sana aisee , kwamba hawezi wakilishwa , ni lazima yeye tu ,
Mume wa Samia unamtaka wa nini? Aje aku............Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?" Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...www.jamiiforums.com
Kabisa mkuu mama anapenda safari Sana aisee , kwamba hawezi wakilishwa , ni lazima yeye tu ,
Asipokwenda itajulikana vipi kuwa Tanzania ina raisi mwanamke!?If you smile to the world....the world will smile back to you ...
Hakuna kujifungia fungia kama mchawi
Mama kabebeshwa mzigo wa madeni hadi haelewi atalipa vipi.Mwendazake was useless president ever..Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuondoka Nchini Oktoba 30, 2021 kuelekea Glasgow, Scotland kuhudhuria Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za Mabadiliko ya Tabianchi (COP 26).
Anatarajiwa kuhutubia siku ya pili ya Mkutano huo (Novemba 02, 2021) na pia atakutana kuzungumza na baadhi Wakuu wa Nchi, Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, Wakuu wa Taasisi mbalimbali na Wafanyabiashara wakubwa.
View attachment 1990991
Anaenda na Jafo, naye akasafishe macho maana kipindi cha Gaidi hajawahi hata kwenda Kenya, and Juzi tu hapa alikuwa Saudi Arabia, Gaidi alizuia watu hata kusafiri, foock him, and let him Rot In hellRais kwenda scoland msafara wake anaambatana na nani? Ni muhimu kutambua wanaofuatana naye kwani safari hiyo pia inatumia kodi za watanzania
View attachment 1991597
Kwani lazima? Ushaambiwa pamoja na mambo mengine atakutana na wafanyabiashara hivyo huenda kuna wafanyabiashara..Rais kwenda scoland msafara wake anaambatana na nani? Ni muhimu kutambua wanaofuatana naye kwani safari hiyo pia inatumia kodi za watanzania
View attachment 1991597
Hayo ni maelezo yako . Soma baruaAnaenda na Jafo, naye akasafishe macho maana kipindi cha Gaidi hajawahi hata kwenda Kenya, and Juzi tu hapa alikuwa Saudi Arabia, Gaidi alizuia watu hata kusafiri, foock him, and let him Rot In hell
Lijamaa lilikuwa linakopa mikopo ya kishamba and likiwa majukwaani linadanganya "Machinga" eti tunatumia hela yetu ya ndaniMama kabebeshwa mzigo wa madeni hadi haelewi atalipa vipi.Mwendazake was useless president ever..
SSH chakarika japo hao walioitwa mabeberu wakupunguzie madeni na sisi tupate nafuu mtaani.
Kila la heri na safari njema, uzuri safari zako zote zimekuwa na matokeo chanya kama hivi👇
View attachment 1991602
View attachment 1991603
Wakati nchi inatangazwa imeingia uchumi wa kati , hakujulishwa?Kwani lazima? Ushaambiwa pamoja na mambo mengine atakutana na wafanyabiashara hivyo huenda kuna wafanyabiashara..
Sera ya Sasa ni moja kutafuta wawekezaji ndio maana kila kiongozi anahaha kwa ajili ya hilo kwa sababu uchumi ulianguka 👇
View attachment 1991604
Anaenda na Jaffo na wawakilishi wengine wa hiyo wizara, ushamba wa kuzuia watu kusafiri umetupwa huko nyambafHayo ni maelezo yako . Soma barua
Vinahusianaje na hoja yangu na mada husika?Wakati nchi inatangazwa imeingia uchumi wa kati , hakujulishwa?
Huyo jamaa yako hata maana ya uchumi wa kati hajui, alikuwa anaropoka tu kama zuzu, Rais wa kwanza kufa akiwa madarakani, hiyo ndiyo rekodi pekee aliyoweka, STUPID HIMWakati nchi inatangazwa imeingia uchumi wa kati , hakujulishwa?