Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Hilo ni jambo lisiloweza kutokea hata siku moja! Siku zote Makada wa ccm hutanguliza maslahi ya chama chao mbele, halafu maslahi ya Taifa huwekwa mwishoni.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa, Alhamisi April 22, 2021, taarifa hiyo imetolewa na Spika Ndugai leo Bungeni.

Bora wabunge wapewe shule ya kuendesha mijadala bungeni.
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Hivi akivunja bunge na yeye itabidi agombee tena au inakuwaje hapo?
 
Wenetu wanapiga tu makofi, iwe hoja ya maana au ya kijinga wao watagonga meza tu, wasemwe vizur au vibaya watapiga makofi tu.

Kwa hali hii sidhani kaama kuna cha maana kitafanyika.
 
Kazi iendelee
 
Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.

Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Kwa tume ipi ya uchaguzi
 
Tunamkaribisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…