Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maana hawana kazi nyngine zaidi ya kudemka tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maana hawana kazi nyngine zaidi ya kudemka tuu.
Hilo ni jambo lisiloweza kutokea hata siku moja! Siku zote Makada wa ccm hutanguliza maslahi ya chama chao mbele, halafu maslahi ya Taifa huwekwa mwishoni.Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Hivi iliishia wapi hii?Ni jambo jema na la ujasiri. Pia arudishe hotuba za kila mwisho wa mwezi na mwisho/mwanzo wa mwaka.
Hehhehe...awaambie hao wabunge waache ureee.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taifa, Alhamisi April 22, 2021, taarifa hiyo imetolewa na Spika Ndugai leo Bungeni.
Uzuri wa nchi yangu ndo huo..kila wiki haiishiwi maajabu,Ashukuriwe mdhungu kutuletea teknolojiaWabunge wajiandae Kudemka na hotuba ya Mama.
Hakika...ila kuna wahitimu kuleBora wabunge wapewe shule ya kuendesha mijadala bungeni.
Hivi akivunja bunge na yeye itabidi agombee tena au inakuwaje hapo?Halafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
Kamuulize DotoHivi iliishia wapi hii?
Wenetu wanapiga tu makofi, iwe hoja ya maana au ya kijinga wao watagonga meza tu, wasemwe vizur au vibaya watapiga makofi tu.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
================
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 22, 2021.
Spika wa Bunge, Job Ndugai amelitangazia Bunge leo Jumatatu Aprili 19, 2021 kuwa Rais Samia atalihutubia Bunge Alhamisi ya wiki hii kuanzia saa 10 jioni.
Hivyo, Spika Ndugai amewaagiza wabunge wote walioko nje ya Jiji la Dodoma kurudi na wale wanaotaka kuondoka wazingatie kuwapo kwa shughuli hiyo kwanza.
Rais Samia atalihutubia Bunge kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19, 2021 baada ya kifo cha Rais wa tano, John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Mwananchi
Walivyo nogewa na kudemka demka hawasikii hao boro livunjwe kabisa aiseehhh 🤣 🤣 🤣 🤣Kwahiyo alhamisi ngoma itasimama kwa dharura kufuatia ugeni. Tusubiri tuone.
Darasa la saba wanajiona wao ndio wanafaida kwenye nchi hii, ni aibu miaka60 baada ya uhuru tunapeleka viongozi wa namna hii kwenye muhimili wa serikali. Aibu sanaAkawape vipande vyao
Hasa wale darasa la saba..
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
================
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 22, 2021.
Spika wa Bunge, Job Ndugai amelitangazia Bunge leo Jumatatu Aprili 19, 2021 kuwa Rais Samia atalihutubia Bunge Alhamisi ya wiki hii kuanzia saa 10 jioni.
Hivyo, Spika Ndugai amewaagiza wabunge wote walioko nje ya Jiji la Dodoma kurudi na wale wanaotaka kuondoka wazingatie kuwapo kwa shughuli hiyo kwanza.
Rais Samia atalihutubia Bunge kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19, 2021 baada ya kifo cha Rais wa tano, John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Mwananchi
Kwa tume ipi ya uchaguziHalafu waanze tena kujadili hotuba ya Raisi badala ya kukamilisha waliyoyaanza wakati Ilani yao ni ile ile.
Mama Samia, unda Tume Huru kisha vunja Bunge turudi kwenye uchaguzi kama kweli uko serious maana hili sio Bunge kabisa.
TunamkaribishaSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
================
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 22, 2021.
Spika wa Bunge, Job Ndugai amelitangazia Bunge leo Jumatatu Aprili 19, 2021 kuwa Rais Samia atalihutubia Bunge Alhamisi ya wiki hii kuanzia saa 10 jioni.
Hivyo, Spika Ndugai amewaagiza wabunge wote walioko nje ya Jiji la Dodoma kurudi na wale wanaotaka kuondoka wazingatie kuwapo kwa shughuli hiyo kwanza.
Rais Samia atalihutubia Bunge kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19, 2021 baada ya kifo cha Rais wa tano, John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Mwananchi
Niliwaambia wakuu, dish la johnthebaptist siku hizi liko njema sana!😁😁Alivunje kabisa tuanze upya!
Tulianza na 'kukaguliwa kaguliwa' sasa hivi tuko na 'kudemka'Nasubir tu Misemo