Mimi sikubaliani na wewe Mkuu. Wananchi wenye utashi wa kulipa kodi bila kusukumwa ni wengi. Bali kinachokera ni namna TRA wanavyoshughulikia zoezi la kulipa kodi. Hii ikiwa ni pamoja na makadirio ya kodi, maswali wanayoulizwa walipa kodi ni kama wapo kituo cha polisi. Ukimaliza makadirio, Kuna milolongo kibao isiyokuwa na msingi. Unazungushwa kwenye vyumba utadhani uko Hospital. Hivyo, Wananchi wengi kuepuka adha hiyo wanaacha kulipa kodi. Kwa ujumla TRA sio wabunifu wa kupunguza kero za walipa kodi.Sisi wananchi wenyewe kulipa kodi bila kusukumwa ni mtihani!! Ukisema leo waje kwa kulemba kwenye kodi aaah hawapati ata bilion 1 kwa mwezi. Wakwepa kodi wengi wanajua kama wanakwepa kodi na wanafanya hivo ili faida ipige maradufu.
Tra walipaswa kuwatembelea wateja wao na kuwapa elimu na kutengeneza mahusiano mazuri na wafanyabiashara, tatizo kubwa hapa limetokana na mfumo wetu wa ujamaa uliomtambulisha mfanyabiashara mbele ya jamii kama mnyonyaji na hali hiyo imekaa kwa watendaji wengi wa serikali. Majina kama kabaila na mengineyo yaliimbwa sana enzi za ujamaa, pia mazingira gani yanayotengeneza wafanyabiashara? Kumbukeni pia nchi yetu inatambulishwa kwa jembe na nyundo.Kweli...
Ndio maana TRA wakiwa around na center flani..kila mtu Nduki.
Kuna mambo ukibembeleza bembeleza hayaendi kamwe!
Kutokubembeleza ni kupora hela za wanaume kwenye a/c? Jiwe alikuwa ni kiongozi jizi na muovu, ndio maana huyo mama anajitenga na uovu wake.Kweli...
Ndio maana TRA wakiwa around na center flani..kila mtu Nduki.
Kuna mambo ukibembeleza bembeleza hayaendi kamwe!
Nimemwelewa sana rais. Inaelekea alikuwa akipumua pumzi ikawa haitoki sasa inatoka vizuri na tutafaidi, hongera.Mama amenikosha sana.
Kumbe walikuwa wanatumia mabavu hadi kukwapua hela za watu kwenye account zao za benki.
Kama analoongea ndo alilokusudia kulisimamia basi sekta hii ya biashara na uwekezaji itaanza kustawi tena.
Aisee chariii yangu ndio irivyo ivyooMura rabda ata hiyo akiri wakawa hawana
Kuna mambo mengi ikiwemo; Matumizi sahihi ya kodi na vipaumbele vya matumizi ya kodi, watumishi kutokukwapua pesa za umma, Uzalendo kwa vitendo, Kodi zinazokusanyika (rafiki) kutokana na kipato cha wananchi husika,Sheria kali za ukwepaji wa kodi zisizo na double standards, Watumishi wa Umma kuwa watumishi wa wananchi, sio unawafokea wananchi na kuwavimbia wakati kodi zao ndizo zinazolipa mpaka mafuta ya gari lako, Nidhamu za wananchi wakawaida (walipa kodi) . Mengine wadau wataongeza, Nchi zingine mtu kukwepa kodi anaona kama dhambi na Mungu anamuona 😀natamani hii mentality iwe induced kwetu.
sijui wazungu wamewezaji kuzishawish jamii zao zilipe kodi.
imefika mahali wanaona aibu hata wasipo lipa kodi. yaani kwao wanasikia msukumo toka moyoni kabisa.
lini tutafika huko?
Alijiunga na mabubu ili maisha yaendelee, nadhani uliufahamu ukali wa bwana shambaHuu Ushauri halikuwa hautoi hapo nyuma kwa mwenzake ?, Au lilikuwa Sikio la Kufa ?
Ni suala la upinzani ama ni kutofautiana mtizamo![emoji16]
Ni kweli, mtu unafungua biashara mwenyewe unajipeleka TRA, ukifika tu unakuwa kama uko polisi. Afisa anakuhoji akishamaliza anajipigia mahesabu ya uongo na kweli anakubandika likodi paah, hakupi hata room ya kumuuliza kwanini umenikadiria hiyo kodi na hayo mahesabu yako umeyapataje pataje, wanaact kama maaskari wa usalama wakimkamata gaidi. 😀Mimi sikubaliani na wewe Mkuu. Wananchi wenye utashi wa kulipa kodi bila kusukumwa ni wengi. Bali kinachokera ni namna TRA wanavyoshughulikia zoezi la kulipa kodi. Hii ikiwa ni pamoja na makadirio ya kodi, maswali wanayoulizwa walipa kodi ni kama wapo kituo cha polisi. Ukimaliza makadirio, Kuna milolongo kibao isiyokuwa na msingi. Unazungushwa kwenye vyumba utadhani uko Hospital. Hivyo, Wananchi wengi kuepuka adha hiyo wanaacha kulipa kodi. Kwa ujumla TRA sio wabunifu wa kupunguza kero za walipa kodi.
Ni lini ulihisi wanaotaka kulipa kodi ni wengi? Mi nakuambia hivi ukiona mtu anasikia TRA wanakuja anafunga kizimba chake anasepa anarudi jion au ndo mpaka kesho hiyo sababu hana chochote kitakacho mponyesha wakipita TRA, hili suala nenda mpaka posta utakuta hivi sababu wengi hatupendi kulipa kodi, ata tuambiwe kwa mwaka tulipe laki 1 bado tutakwepa tu. Kama Machinga waliambiwa 20,000 kwa mwaka na bado wanasiasa wakaona eti machinga wanaibiwa wanalipa hela nyingi sasa utakadiliwa Tsh ngapi uone chache..??Mimi sikubaliani na wewe Mkuu. Wananchi wenye utashi wa kulipa kodi bila kusukumwa ni wengi. Bali kinachokera ni namna TRA wanavyoshughulikia zoezi la kulipa kodi. Hii ikiwa ni pamoja na makadirio ya kodi, maswali wanayoulizwa walipa kodi ni kama wapo kituo cha polisi. Ukimaliza makadirio, Kuna milolongo kibao isiyokuwa na msingi. Unazungushwa kwenye vyumba utadhani uko Hospital. Hivyo, Wananchi wengi kuepuka adha hiyo wanaacha kulipa kodi. Kwa ujumla TRA sio wabunifu wa kupunguza kero za walipa kodi.
Hahahaa Field marshal, Mkuu wa Green guard aliyefanya mipango mingi haramu ya gizani dhidi ya upinzani.Bora kasema maana huyo waziri wa feza anaweza kuagiza wafanyabiashara wanaodaiwa kodi wamwagiwe tindikali.