Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
-
- #61
Kwenye maisha hatakama mtu ni adui yako still ana mazuri yakeNakubaliana na wewe, akifanya vizuri tumpe pongezi na akikosea tumseme, kwa hili nampongeza sn Rais Samia
Ndo maana waliosema hekima ina nguvu hawakukoseaKatika jambo lililomwinua mama samia ni hili la kuruhusu maandamano big up mama samia kiuhalisia amezidi maraisi wote waliopita namuona mama samia ni mwema tatizo ni wanaomzunguka huko ccm sio watu wema mama Leo umeonyesha Kwa jamii ya watanzania anaweza kuleta mabadiliko ukiacha doa la Dp world kura zingepigwa Leo ungeshinda uraisi umeonyesha Utu mama Mungu akulinde na azidi kukupigania
Kama hana mamlaka mbona Magufuli alipopiga marufuku mikutano na maandamano mbona wote tuliufyata?Huna HOJA.
Na Kwa taarifa Yako, Rais Hana mamlaka kuruhusu maandamano Wala kuzuia,
KATIBA ndiyo imetoa Ruhusa hiyo.
Tanzania Rais anaweza asiifuate katiba na bado ashishtakiwe mahali popote yaani ikamlindaKwahiyo unampa Samia Maua yake kwa kuheshimu KATIBA mbona kapeleka Miswaada feki Bungeni ili apore Uchaguzi?
Maza alipokuwa USA na EU amejitangaza kuwa yeye ni Progressive na Reformist ili Bakuli lijazwe mpunga kwa masharti ya kuruhusu Demokrasia ya kweli Nchini lakini kumbukeni huyu Mama ni mlaghai.
Madikteta sasa hivi DAWA yao tunayo ni KUWAROGA tu wafe Midomo wazi.Tanzania Rais anaweza asiifuate katiba na bado ashishtakiwe mahali popote yaani ikamlinda
Ndo maana nyerere alisema katiba hii inampa mamlaka Rais kuwa dikteta
Uliufyata wewe!!Kama hana mamlaka mbona Magufuli alipopiga marufuku mikutano na maandamano mbona wote tuliufyata?
ExactlyKama hana mamlaka mbona Magufuli alipopiga marufuku mikutano na maandamano mbona wote tuliufyata?
Acha uongo aliandamana wapiUliufyata wewe!!
Askofu mwamakula aliandamana kumpinga.
Yalikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka.
Sasa nijibu swali lisilokuwepo?Acha uongo aliandamana wapi
Maandamano ya mtu unayaita maandamano utafananisha na haya ya leo
Ndo maan nilikuuliza swali ni Rais yupi aliruhusu maandamano kama ya leo umeingia mitini hujanijibu
Unaumiiia mwenyewe!Haya ndio mataahira yanayomfanya Samia nae ajione ni rais kweli kweli
Rais wa Tanzania yupo ya sheria hata nyerere alisema au mesahauSasa nijibu swali lisilokuwepo?
Rais Hana mamlaka kikatiba kuruhusu au kuzuia maandamano.
Ruhusa hiyo imetolewa na Katiba.
Kwani una elimu Gani?
Tanzania ni sovereign state.. tunaweza kukunyonga hata hao unawaita balozi wasiisaidie familia yakoSema ameshindwa kuzuia maandamano baada ya Mbowe kumzidi ujanja Kwa kushirikisha UN na mabalozi wa USA na Uingereza.
Ikiwa alikuwa na Nia njema kuruhusu maandamano, why wanajeshi hawakujitikeza yalipotokea mafuriko, waje kufanya usafi siku ya maandamano ya CHADEMA?
Huna HOJA.
Punguza hasira usijevuruga maandamano ya Amani🙏Tanzania ni sovereign state.. tunaweza kukunyonga hata hao unawaita balozi wasiisaidie familia yako
Au mnajisahau
Nionyeshe kifungu katika Katiba kilichoandikwa direct kuwa "Rais yupo juu ya SHERIA".Rais wa Tanzania yupo ya sheria hata nyerere alisema au mesahau
Mkapa alivyotumi nguvu kubwa kule pemba kwenye yale maandamano 2002 alichukuliwa hatua gani za kisheria, kumbuka wale wanachama wa CUF walikua wanatimiza haki yao ya kikatibaNionyeshe kifungu katika Katiba kilichoandikwa direct kuwa "Rais yupo juu ya SHERIA".
Kama hakipo ujue Nyerere alimaanisha, Rais anaweza kutumia mamlaka yake vibaya kama ambavyo wewe unavyoweza kutumia mamlaka Yako vibaya kumpiga mkeo wakati umeelekezwa kuishi naye Kwa akili..
Alaumiwe kwa kupeleka "miswada feki" lakini apongezwe kushinda vishawishi vya kutaka maandamano yapigwe marufuku ili itokee vurugu.Kwahiyo unampa Samia Maua yake kwa kuheshimu KATIBA mbona kapeleka Miswaada feki Bungeni ili apore Uchaguzi?
Maza alipokuwa USA na EU amejitangaza kuwa yeye ni Progressive na Reformist ili Bakuli lijazwe mpunga kwa masharti ya kuruhusu Demokrasia ya kweli Nchini lakini kumbukeni huyu Mama ni mlaghai.
Nimekwambia hayo ni matumizi mabaya ya madaraka.Mkapa alivyotumi nguvu kubwa kule pemba kwenye yale maandamano 2002 alichukuliwa hatua gani za kisheria, kumbuka wale wanachama wa CUF walikua wanatimiza haki yao ya kikatiba
Au magufuli alivyokataza mikutano kinyume na katiba alichukuliwa hatua gani za kisheria
Kikwete alijitahidi sana. Hadi pale alipoharibiwa na Kamhanda kwa kumwua Daudi Mwangosi.Ni rais yupi wa Tanzania aliruhusu maandamano ya wapinzani bila usumbufu au matumizi ya nguvu kubwa kuzuia