Pre GE2025 Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alaumiwe kwa kupeleka "miswada feki" lakini apongezwe kushinda vishawishi vya kutaka maandamano yapigwe marufuku ili itokee vurugu.
Anajua kuwa akiendeleza ubabe wa mtangulizi wake Vikwazo vinafuatia Umoja wa Ulaya na Marekani zilishaweka wazi.

Mimi nitampa Maua kidogo kwa haya Maandamano na sina uadui na Samia kama akiamua kubadilisha hii Nchi mimi nitakuwa wa kwanza kumpongeza.
 
Vikwazo vip
Wakina kagame anaua watu na bado hakewi vikwazo

Marekani au nchi za western wanakuwekea vikwazo pale unapogusa maslai yao
 
Ujinga uliopo Tanzania ndo sababu ya CCM kuwepo madarakani kwa muda wote huu!

Na ndo maana hata hela za walipa kodi huitwa hela za Samia!
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayopenda ccm labda kama ana-maslai nayo

Ila pamoja na mambo mengi ya hovyo wanamazuri yao machache sana
 
Rais anastahili pongezi, baadhi ya ccm walitamani FFU wamwagwe na kupiga mabomu ya machozi na kamata kamata, ndio furaha yao, Na CCM tunaomba maandamano ya amani ya kumpongeza rais kwa kuwa muumini wa demokrasia.
 
Haya matembezi ya leo yamefana,Nafurahi kuona kweli Demokrasia imekua nchini.Viva Mama Samia mpenda amani.
 
Ni rais yupi wa Tanzania aliruhusu maandamano ya wapinzani bila usumbufu au matumizi ya nguvu kubwa kuzuia
Nguvu kutumika au kutotumika sio sababu ya kujisifu.

Watu wanapaswa kujitafakari wanakosea wapi.

Uongozi ni dhamana mkuu
 
Haya matembezi ya leo yamefana,Nafurahi kuona kweli Demokrasia imekua nchini.Viva Mama Samia mpenda amani.
Goldnessa mtoto wa mjomba yangu, kama hiyo DP picture ni wewe basi naomba namba zako.

Ili baadae nikucheck unitumie namba za mjomba
 
Kauli ya wanajeshi hakutoa Rais
Nitajie Rais aliyeruhusu maandamano ya wapinzani bila bughdha yeyote ile nasubiria jibu
RC ni mteule wa Rais na tamko lake ni amri ya serikali kwa niaba ya Rais mwenyewe. Utasemaje Rais hakutoa tamko?
 
Ni rais yupi wa Tanzania aliruhusu maandamano ya wapinzani bila usumbufu au matumizi ya nguvu kubwa kuzuia
Maandamano ni swala la kikatiba, siyo kazi ya Rais kuandaa au kuruhusu maandamano.
 
Vikwazo vip
Wakina kagame anaua watu na bado hakewi vikwazo

Marekani au nchi za western wanakuwekea vikwazo pale unapogusa maslai yao
Lakini unaona alivyoijenga Rwanda sio kama CCM na kundi lenu la wezi.
 
Katiba na sheria ndiyo vinaruhusu siyo SSH
 
Maandamano ni swala la kikatiba, siyo kazi ya Rais kuandaa au kuruhusu maandamano.
Maguful alikataza mikutano ya siasa ambayo ipo kikatiba na kumuondoa assad nje ya katiba
Tanzania Rais kufuata katiba ni option sio lazima
 
Mimi siko ccm na rwanda bado iko kwenye kundi la nchi maskini sana
Umeshasikia CAG wa Rwanda akipuuzwa kama huyu wa hapa kwetu.

Watu wanapora hadharani na hakuna wa kuwafanya chochote hiyo KAMWE haiwezo kutokea Rwanda.

Hili Taifa linaloongozwa na Wezi unalifananisha na Rwanda Nziza?
 
katika maandamo mengi huwa yanatokea sio hapa tu hata katika mataifa mengine yanatokea uvunjifu wa amani kuharibu mali za watu ni lazima uelewe kuna watu tofauti kuna wanaondamana wastarabu na kuna wasio wastaarabu nadhani utakuwa umenielewa na suala la wanajeshi ni kuhakikisha kwa wale ambao sio wastaarabu kushindwa kutekeleza kile kilichowapeleka pale ina maana kuna ambao hawapo hapo sababu ya maandamano
 
KAZI ya Jeshi ni kulinda mipaka ya nchi .
 
Aliyempa case ya ugaidi Mbowe Kwa kutaka kuandamana,

Na aliyewakamata Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude na kusema ni wahaini,

Ni nani tafadhali.
Hivi haya mafisadi yanayoiba sasahivi hayavunji katiba? Neno uvunjaji katiba mmelishikilia sana kwa magufuli mmeona ndio neno zuri la kumchafua mbona mafisadi yapo huru sasahivi je hiyo katiba haivunjwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…