Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

Umewahi kujiuliza kwanini kuna tuzo mbalimbali kwa watu wanaofanya vizuri katika maeneo yao ya kazi? Umewahi kujiuliza kwanini wanapewa tuzo kwa kazi wanazolipwa mishahara?
Kwahiyo hapa unaona tuzo mama samia ?...we jamaa kiboko , Yan apewe tuzo kwa kuidhinisha fedha zetu wenyewe na hiyo kazi ukimpa wenyewe hapo what's new ? Mama katika hili, mama katoa lile, jaman punguzeni huu upuusi, hatuwezi kufika
 
Mzee
Mzee hapa umemaliza
 
Mzee

Mzee hapa umemaliza
Ngoja nkwambie kitu mdogo wangu, kuna kitu watu Hawajui, hapa duniani ukiwa mtu wakutubu sana inafika wakati watu wanakuona wewe uko weak na kweli wewe unakuwa weak, na utachelewa sana kufika, watu duniani hawaheshim weak people wanaheshimu strong people, mfano ZELENSKY kujikomba kote marekani maamuzi ya nini kifanyike kule anaitwa VP hivi kweli unadhani marekani vichaa ? Wamemwona ZELENSKY kama demu, wanaongea na Mwanaume Putin, ndio mana wale the strong ones will always win, hawa machawa watakuwa machawa mpaka mwisho hawana nafasi nyingine amini nakwambia...
 
Aisee papa mukulu ha ha ha ha ha ha ha ha unafikiri vilaza huwa wanaelewa basi? Lukas ni kilaza ni vigumu yeye kuelewa jinsi inavyoenda.
 
Rais wa awam hii angekuwa Man Luka angempelekea 071..... kumpongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…