mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Halafu lichawi haswaKweli kwa mtindo huu......
Huyu jamaa anawaza kuchora mawe tena mabarabarani nchi nzima kama ilivyokuwa 2015.View attachment 2264674
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu lichawi haswaKweli kwa mtindo huu......
Huyu jamaa anawaza kuchora mawe tena mabarabarani nchi nzima kama ilivyokuwa 2015.View attachment 2264674
Maskafu ni mwananchi sio kolo.Kolo Maskafu.
Genius au Genie?mkuu huyu tumesoma nae kabisa ni Genius kweli ila labda ni ushamba flani tu unamsumbua kupewa vyeo vikubwa vimemzidi umri!
He is obsessed to become the Head of State!
Tumeingia second half, madiluuu atoke nje, aingie DR KIMEI.Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.
Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.
Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
Zuga tumtaje kwa jina hata la utani tumjue
Mwigulu mzee wa maskafu.
Mkuu GENTAMYCINE! Huyu jamaa mimi sijawahi muamini hata siku moja.Ninawapenda mno JF Genius Members wachache kama Wewe Mkuu kwani huwa mnanirahisishia sana Kazi hapa tulipo.
Na wewe Machame Gang! Kwa sasa mmepoteana kwa muda.Sukuma gang mnapigika vibaya sana
Kweli kawabana majizi kwaMwigulu kamatia hapo hapo Hawa ni majizi waliozoea kula pesa Sasa Mwigulu kawabana wanajikosha kwa kujifanya wanatoa ushauri..
Kama mna ushauri pelekeni Umoja Party
Acha upuuzi mkuu,Kila mtu mzima mwenye mapato kuanzia mil.4 na una miaka 18 lazima ulipe Kodi.Kweli kawabana majizi kwa
●Kodi ya kichwa kwa kila mtanzania over18yrs.
●Tozo za miamala ya fedha na kibenki.
●Tozo za ving'amuzi vya television.
●Tozo za kulipia kodi za majengo kupitia LUKU hata kwa wapangaji.
Kweli majizi tutakoma nchi hii.
Nini kinafanywa na hii mikopo na misaada lukuki tunayopewa kila uchao huko kwenye ufunguzi wa nchi?
Yaliwezekana vipi awamu ya tano na yameshindikana vipi awamu ya sita??
Atakuwa ni yule mpumbavu alochora jina lake kwenye mawe nchi nzima 2015. Anavaa skafu kwa uzalendo fekiKwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.
Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.
Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
Yuko pia waziri wa vito vya thamani amepoteza Kura zote za mama kwa wachimba Vito vya thamani. Mama akitembelea maeneo maeneo ya wachimba vito vya thamani atapokelewa na mabango ya kutisha.Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.
Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.
Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
Mzee wa kodi za mawigi bwasheemtaje kwa jina hata la utani tumjue
Unakuja hapa kutupotezea muda na kujaza server kwa kumung'unya maneno ili itusaidie nini sisi au huyo mama yako?! Kama huna kifua cha kufunguka wafu waelewe baki hukohuko mvunguni mwa kitanda chako huko kwenu Nakapanya! Nonsense.Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.
Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.
Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
Sasa kama una hili Jambo muhimu kwa Rais Samia na Watanzania kwanini usilianzishie tu Mada ( Uzi) wake mpaka uje hivi Ulichomekee hapa katika huu Uzi wangu?Yuko pia waziri wa vito vya thamani amepoteza Kura zote za mama kwa wachimba Vito vya thamani. Mama akitembelea maeneo maeneo ya wachimba vito vya thamani atapokelewa na mabango ya kutisha.
Ana madalali wawili m1 anaitwa Nabi mwingine anaitwa Obuka hawa wanawanyang"anya wananchi maeneo yao kisha wanawauzia Wachina. Kwa ujumla ni madalali wa Wachina. Mama mrekebishe huyo waziri wako