Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

on serious note mzee wa maskafu akimaliza bajeti yake ya kidwanzi mama ampige chini aisee mbona kuna wachumi wazuri tuu wanaweza kaa pale
 
Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.

Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.

Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.

Unamuonea bure tu…..

Hii awamu yote ni batili…..haina dira, kwa kifupi haieleweki…

2025 mwenye enzi Mungu atupatie Raisi ambae atapindua kila kitu kuanzia katiba mpaka system nzima ya kuendesha nchi ili Tanzania ijengwe…hv sasa Tanzania inaendeshwa kimazoea watu wanajenga mifuko yao…
 
Sasa kama una hili Jambo muhimu kwa Rais Samia na Watanzania kwanini usilianzishie tu Mada ( Uzi) wake mpaka uje hivi Ulichomekee hapa katika huu Uzi wangu?

au kwasababu unajua Rais Samia na Watendaji wake ( hasa Idara zake Nyeti ) nchini huwa wananisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo ukaona nawe upate Tiketi ya Kusomwa nao kwa msaada wa Lifti ya hii Mada yangu Mahsusi hapa?

Ulichoandika hapa kinachomuhusu huyo Waziri wa hiyo Wizara Dk. Dotto Biteko ( mwana SAUT ) Mwenzangu ( japo nilimuacha miaka Miwili ( 2 ) nyuma Chuoni Mwanza ungeuanzishia Uzi wake ingependeza na kuwa na Manriki halafu hata Mimi ningeunogesha huo Uzi kwakuwa nami pia nina Madhaifu yake kadhaa huyo Waziri huko huko katika hiyo 'Docket' aliyoko.
Wewe mara uwe Mnyarwanda mara Mtanzania mbona sie hatuna uraia pacha?
 
Wewe na kina Sendeka wanaogopa kujitaja kuwa Ni wamasai hamna togauti
 
Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.

Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.

Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
Project ya kwanza kwa kila Rais mpya ambayo inafanikiwaga sana ni KUMJAZA HOFU.

Uratibu wake unawafaidisha sana chawa wanaoendelea kudumu kila awamu
 
Back
Top Bottom