Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

Unakuja hapa kutupotezea muda na kujaza server kwa kumung'unya maneno ili itusaidie nini sisi au huyo mama yako?! Kama huna kifua cha kufunguka wafu waelewe baki hukohuko mvunguni mwa kitanda chako huko kwenu Nakapanya! Nonsense.
You're a damn Fool.
 
Sasa kama una hili Jambo muhimu kwa Rais Samia na Watanzania kwanini usilianzishie tu Mada ( Uzi) wake mpaka uje hivi Ulichomekee hapa katika huu Uzi wangu?

au kwasababu unajua Rais Samia na Watendaji wake ( hasa Idara zake Nyeti ) nchini huwa wananisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo ukaona nawe upate Tiketi ya Kusomwa nao kwa msaada wa Lifti ya hii Mada yangu Mahsusi hapa?

Ulichoandika hapa kinachomuhusu huyo Waziri wa hiyo Wizara Dk. Dotto Biteko ( mwana SAUT ) Mwenzangu ( japo nilimuacha miaka Miwili ( 2 ) nyuma Chuoni Mwanza ungeuanzishia Uzi wake ingependeza na kuwa na Manriki halafu hata Mimi ningeunogesha huo Uzi kwakuwa nami pia nina Madhaifu yake kadhaa huyo Waziri huko huko katika hiyo 'Docket' aliyoko.
Paragraph ya pili imenichekesha sana..
 
Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.

Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.

Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
Unajya usidhani kuwa wewe una akiki kubwa kuliko samua anavyowaangalia mawazuri wake
 
Na ndo maana anatupiga kila upande ili mioyo yetu ijae.

Kama wakati mgumu sasa watz tunauona.

Jamaa kipande mia 900, hakika ana lake.
 
Sasa hivi anaongeza mabasi ya kichina baada ya kuifufua timu yake ya gozi la tembo
Possibly huu Uzi unatokana na hili, ukizingatia kuna kau "relation" uliojificha na hasimu wake mkuu kwenye futiboli yaani Uto.
Akiamini akitumbuliwa biashara imeisha.
 
Inawezekana ndiyo maana kwenye budget ijayo ameamua kupunguza ushuru wa mabasi kwa asilimia 15!! Madaraka matam,viva Esther luxury.
 
Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako Viwili wa Makao Mkabala na St. Peters Church na wale wa Makao Mkabala na Palm Beach Hotel havitauingilia na NEC ya Mzanaki ( Mwetu ) Mwenzangu Dk. Charles Wilson Mahera haitauingilia unaenda Kuangushwa asubuhi na hutoamini.

Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan Leo ni mara ya Tano Mwanao nakuambia muondoe upesi huyo Waziri kwani pamoja na Kujitahidi sana kutuonyesha Watanzania jinsi alivyo Mzalendo kwa Taifa hili la Tanzania wakati Sisi wenye Akili Kubwa ( japo hatuna PhD ) kama anayoimiliki ya Mchongo na Vitisho wa Wahadhiri wake tunajua siyo Mzalendo na hajawahi kuwa Mzalendo hata kidogo lakini Mama yangu hunisikii tu Mimi Mwanao Mpendwa ( japo Mtukutu ) ila Mcha Mungu mzuri tu GENTAMYCINE.

Na usiichokijua Mama ( Rais Samia ) huyo Waziri akikaa Vijiweni Kwake Mbezi Beach huwa anakunanga sana tu.
We Kim,a tangu lini ukampenda Samia mbbbbbwa wewe we si kutwa unamtukana humu?? Huo ushauri wako upeleke Chatttle kwenye mizimu yenu
 
Inawezekana ndiyo maana kwenye budget ijayo ameamua kupunguza ushuru wa mabasi kwa asilimia 15!! Madaraka matam,viva Esther luxury.

Eti kodi shilingi 3,500,000 /- tu kwa Gari moja Kwa Mwaka !
 
Kwa jina labda tuangalie wanaokaa hii mbezi ya wakubwa. Kama wapo mawaziri wengi labda tubahatishe. Labda yule aliyesema mnaona wivu na huu uwaziri niliopewa.
 
nadhani Maskafu bado ana shida flani kichwani maana alikuwa mkubwa darasa zima anasoma na watoto basi wakawa wanampita maksi tunacheka japo alipewa ukaka mkuu na aliutendea haki.

he will understand what I say!

sote tuliamini karudia darasa si kwa umri ule yuko form four!

But we respect him and we are proud of him coz he is among of us toka special school ya kule kaskazini!!

Namshauri atoe mawazo ya urais he will make the best minister! Urais huwa hautafutwi unakuja tu kama Mungu amepanga!
He will be rais!
Tena watoto wa mjini JK, kinana,Samia, Makama Sr and the likes ndio watakaomsogeza kwenye kiti cha urais
 
Acha upuuzi mkuu,Kila mtu mzima mwenye mapato kuanzia mil.4 na una miaka 18 lazima ulipe Kodi.
Kila mwananchi analipa kodi kupitia nyanja mbalimbali.

Mfanyabiashara analipa kupitia VAT.

Mwananchi yeyote anayenunua bidhaa popote nchini na kupewa risiti halali,tayari anakuwa amelipa kodi.

Wafanyakazi wanakatwa kodi kupitia kwenye mishahara yao.

Wakulima wananunua pembejeo na kukatwa kodi.
Lakini pia wanapouza mazao yao wanakatwa kodi.

Machinga wanalipia vitambul8sho vyao kila mwaka.

Sasa Mwigulu na hii kodi yake ya kichwa.

Na utitiri wa Tozo.

Mbona hata hatupewi mrejesho wa hizo tozo zinakoelekezwa?
 
Bila kuchukua lisiti hakuna Kodi unayolipa..

Umewahi jiuliza kwa nini wafanyabiashara hawataki kutoa risiti kama kununua tuu bidhaa unalipa Kodi?
 
Naunga mkono hoja. Kuna jambo moja linashindikana kueleweka zaidi toka kwa wahusika kwanini bajeti zao zinaumiza zaidi wwnanchi kuliko wao kujipunguzia matumizi. Waziri wa fedha atakayekuja na bajeti ya kupunguza matumizi atafanya vizuri zaidi.

Wananchi mtaani wanalalamika hali inazidi kuwa ngumu
Hapo huwezi kuwasikia zaidi ya wao kujiongezea posho nono
 
Back
Top Bottom