Kila mwananchi analipa kodi kupitia nyanja mbalimbali.
Mfanyabiashara analipa kupitia VAT.
Mwananchi yeyote anayenunua bidhaa popote nchini na kupewa risiti halali,tayari anakuwa amelipa kodi.
Wafanyakazi wanakatwa kodi kupitia kwenye mishahara yao.
Wakulima wananunua pembejeo na kukatwa kodi.
Lakini pia wanapouza mazao yao wanakatwa kodi.
Machinga wanalipia vitambul8sho vyao kila mwaka.
Sasa Mwigulu na hii kodi yake ya kichwa.
Na utitiri wa Tozo.
Mbona hata hatupewi mrejesho wa hizo tozo zinakoelekezwa?