Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

on serious note mzee wa maskafu akimaliza bajeti yake ya kidwanzi mama ampige chini aisee mbona kuna wachumi wazuri tuu wanaweza kaa pale
 

Unamuonea bure tu…..

Hii awamu yote ni batili…..haina dira, kwa kifupi haieleweki…

2025 mwenye enzi Mungu atupatie Raisi ambae atapindua kila kitu kuanzia katiba mpaka system nzima ya kuendesha nchi ili Tanzania ijengwe…hv sasa Tanzania inaendeshwa kimazoea watu wanajenga mifuko yao…
 
Wewe mara uwe Mnyarwanda mara Mtanzania mbona sie hatuna uraia pacha?
 
Wewe na kina Sendeka wanaogopa kujitaja kuwa Ni wamasai hamna togauti
 
Project ya kwanza kwa kila Rais mpya ambayo inafanikiwaga sana ni KUMJAZA HOFU.

Uratibu wake unawafaidisha sana chawa wanaoendelea kudumu kila awamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…