Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

Tulia kidogo dogo. Uraisi Ni Taasisi. Mbona JPM alihamishia ikulu Chato, nyumbani kwake, Karibu na kaburi lake?
 
Mzee Makamba walimwambia Samia apumzi hasifanye kaz Sana isije kufika 2025 akawa amechoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
 
Tulia kidogo dogo. Uraisi Ni Taasisi. Mbona JPM alihamishia ikulu Chato, nyumbani kwake, Karibu na kaburi lake?
JPM hawezi na hajawahi kuwa mfano bora wa uendeshaji wa taasisi ya urais.
 
Na wewe uache mambo yako, huyo mama na kuishia barabarani kila siku hizo briefing anazifanyia kazi saa ngapi, kuna mambo tuwe realistic tu jamani.

Matokeo yake tutayaona baada ya miaka kadhaa, kuna ufisadi mkubwa mda huu, watu wanajikamulia ty, maza hauz hajui hata abc za nchi yake..
 
Kama Marekani alikaa Siku 14 huku Uingereza atakaa Siku 28 na akienda China anakosubiriwa kwa Hamu kutokana na Urafiki mkubwa na wa Kihistoria wa hizi nchi Mbili kuna uwezekano akakaa huko hata Miezi Mitatu mpaka Sita.
nasapoti mtoto wa mzee mwinyi anayefanya kazi ni husein mwinyi Zanzibar tu ,huyu wa bara hapana tumepigwa
 
nasapoti mtoto wa mzee mwinyi anayefanya kazi ni husein mwinyi Zanzibar tu ,huyu wa bara hapana tumepigwa
Hussein Mwinyi kweli anafanya kazi.
Anatembelea ahadi za Ilani sliyotoa.

Sisi tunchomwomba mama , the least she can do ni kutekeleza Ilani kwa mikoani zilixoahidiwa.
 
Mkuu nimeishi Zanzibar 2019 huyu ni Mzanzibar halisi kabisa yaani wale wavivu wa kufanya kazi kama kuna chakula ndani hafanyi kazi tena kuzalisha zaidi ya kula na kusikiliza taraabu. Over
Jibu hili hapa.
 
Siku hizi tuna digital offices blaza
 
Hussein Mwinyi kweli anafanya kazi.
Anatembelea ahadi za Ilani sliyotoa.

Sisi tunchomwomba mama , the least she can do ni kutekeleza Ilani kwa mikoani zilixoahidiwa.
Huyu hawezi kwani hakunadi yeye ndo Mana wanamzurulisha duniani wao wanaandaa mkeke 2025
 
Si mlisifia anaupiga mwingi? Si mlisifia CCM mnayoitaka imerudi, tena na neema zake ndogo ndogo na zile kubwa?
Sasa shida iko wapi? Maana waswahili wana usemi wao...lakuvunda huwa halina ubani!
Tumuache Mama afanye kazi anavyoona inampendeza maana tulimpa moyo hivi ndivyo kazi inavyotakiwa.
After all, kama tuna machozi, kila mtu atajililia mwenyewe kwa wakati wake muafaka!
 
Tulimsifia na tutendelea kumsifia, maana tulikotoka utumwani Misri hakuna anayetaka kurudi.
Uungwana ni kukosoa pale tunapoona panahitaji kukosolewa.
Bahati nzuri mama si kama yule jamaa aliyetamka wazi wazi kuwa hakosolewi wala hashauriki, kama inavyostahili uongozi wa umma.
 
Anafungua nchi mkuu na anatafuta wawekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…