Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

Kila njia ninayoona imebaki naona watu wengi hawaitaki! Sijui mimi ndo nina tatizo!
Anyway, labda tutathubutu siku moja kudhamiria.
Ila kiukweli watanzania tumeshatekwa zaman na kikundi cha wenye akili na maarifa katika mission yao!
 
Nchi ni yetu, watu ni wetu, viongozi ni wetu.
Tusiporidhika, viongozi wetu ni haki yao kuelewa mrejesho wetu.
Kuna Dr Mpango, kuna Majaliwa, kuna Makala kwa mkoa wa Dar. Hao wote ni wazoefu wenye elimu za kutosha tu. Nadhani unamuona Kassim Majaliwa anavyochakarika kila kukicha.

Sio kila kitu kifanywe na rais upo mgawanyo wa madaraka unaoshuka mpaka chini. JPM ndio alitaka afanye yeye kila kitu, awamu imeshabadilika.
 
Ni kweli kabisa kuna kina Dr Mpango Makamu wa Rais,Majaliwa Waziri Mkuu na Makala Mkuu wa Mkoa, MMM.

Lakini wakati huu uchumi unapokuwa una hitilafu na unaweza kuparaganyika kuanzia ngazi ya familia hadi kitaifa, ndio kiongozi wa juu anatakiwa kuwa mstari wa mbele kutatua, si mbadala wake.

Rais Ronald Reagan aliwahi kusema, "Ultimately, the buck stops at the President"
Muwajibikaji No.1 ndio anaonekana wakati wa fracas, siyo second fiddle.
 
You can’t be serious
Oh yes, I am serious.
Dont belittle the office of the President.
Digital officing is only a solution to information management that includes information conveyance, access , data storage and retrieval.
Critical and strategic decision making is something else my brother!
 
Ooh and you think she has to in Chamwino kuwa effective?

Na yote uliyosema can’t be done akiwa remote?

Wa wapi wewe?
 
Ooh and you think she has to in Chamwino kuwa effective?

Na yote uliyosema can’t be done akiwa remote?

Wa wapi wewe?
Search my posts for your propositions.
You seem to be on another planet altogether.
 
Muwajibikaji namba moja anayemtegemea kila mmoja wetu kwa mchango wake. Vita ya Ukraine na Russia imekuja wakati mbaya na tukubali tu.
 
SOMETIMES AKILI YAKO INAJITAMBUA,THANKS FOR THIS REPLY
 
Tumepigwa na kitu kizito kichwani
Nina rafiki yangu huko Guinea anauliza kuwa Tanzania hakuna jeshi au wanajeshi hawana ndugu wanaoathirika na hali ngumu!!??
Nikamwambia ngoja nitawauliza wahusika.
Iko haja ya ku-imitate western afrikan countries
 
Anaandaa filamu nyingine maana Royal Tour haikupata kiki kabisa bora kumtazama Kingwendu
 
Niliwahi uliza hili swali.
Leo mama yuko Doha , Qatar.
 
Nyie chawa wake mtaelewa tu baadae
 
Nyie chawa wake mtaelewa tu baadae
Mie namuunga mkono mama, apunguze tu Airmiles!
Paka asiokuwepo panya wanarandaranda mitaani!
Juzi aliwalalamikia wakuu wa Wilaya kutofanya kazi!
Paka hayupo!!
 
Zile ripoti alizokuwa anapewa Magu za bandarini, airport, mirerani, na migodini hivi Mama rais siku hizi anapewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…