Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Kila njia ninayoona imebaki naona watu wengi hawaitaki! Sijui mimi ndo nina tatizo!Nafikiri hata mama akiwasoma humu hawaelewi anawashangaa tu. Kwake mambo ni mazuri ila tatizo ni vita Ukraine na Urusi!
Nyerere aliyeisuka hii nchi alisema CCM ikiyumba nchi itayumba. CCM imetoka kwenye misingi ya kuandaa viongozi wenye maono na uwezo wa kutuongoza zama hizi za dunia iliyojaa hila za kila namna.
CCM imechoka, CCM inahitaji mtifuano wa reformation maana bado hatuna chama mbadala kilicho tayari kushika dola kwasasa.
Anyway, labda tutathubutu siku moja kudhamiria.
Ila kiukweli watanzania tumeshatekwa zaman na kikundi cha wenye akili na maarifa katika mission yao!