[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mtoto mdogo!Yeah right.
Magufuli alikuwa tajiri siyo? Mbona alipokuwa tia maji tia maji kuelekea kibla alikimbizwa Nairobi badala ya kupelekwa kule utajirini Chato kwenye maziwa na asali? π π
Sawa. Magufuli (mungu wenu) kafa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mtoto mdogo!
.
Subiri chanjo ije nikushikie saburi hilo uchanjwe vizuri
Sasa kufa ni ajabu?Sawa. Magufuli (mungu wenu) kafa.
Semeni sasa! π π
Amesema ni zaidi 100 hivyo hata maelfu ni zaidi ya 100. Kuna mikoa kama Kilimanjaro na Arusha Hali si shwari kabisa. Nasikia pia Mwanza bila kusahau Baba Lao DSM.Ni vizuri kama wameanza kuweka idadi ya wagonjwa
Mungu ni fundi haswa. Yaani Ile 17 March 2021 ni kumbukumbu isiyofutika kabisa.Sawa. Magufuli (mungu wenu) kafa.
Semeni sasa! π π
Kufa ni faida kwa watenda haki.Sasa kufa ni ajabu?
Wewe dogo vipi?
Leta makaa ya nawe na petrol ongezea Moto ukoleeKufa ni faida kwa watenda haki.
Kwa madikteta na wenye viburi ni moto tu mwanzo mwisho!
Unafikiri atakaekuwa ana hukumu ni Lisu au amsterdam?Kufa ni faida kwa watenda haki.
Kwa madikteta na wenye viburi ni moto tu mwanzo mwisho!
Hizo takwimu za wagonjwa kwanini zisiwe zinatolewa kwa public?
Rais anajitahidi sana kuendana na kile WHO wanataka, ningependa atuambie hao wagonjwa wamelazwa hospitali zipi? familia zao wameziweka karantini? na mikoa ipi inaongoza kwa maambukizi.
This is a wake up call, tuamke, ile likizo ya Corona imeisha, now kirusi kipo mjini.
Shauri yako ila sisi tunajua jamaa yako umeshakufa na hatuna habari wala nini! Ni kifo cha wakati wake na pahala pake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hoja zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mtoto mdogo!
.
Subiri chanjo ije nikushikie saburi hilo uchanjwe vizuri
Mimi napiga nyungu na NIMCOF(home made) baasi! japo ni mlengwa wa wale wanaopewa chanjo wa kwanza kwa mazoea ya nchi zingine....Chanjo ya covid 19 ni hiyari siyo lazima!!!
Mimi napiga nyungu na NIMCOF(home made) baasi! japo ni mlengwa wa wale wanaopewa chanjo wa kwanza kwa mazoea ya nchi zingine....Chanjo ya covid 19 ni hiyari siyo lazima!!!
Mavi yako wew hata Mwaka humaliziKufa ni faida kwa watenda haki.
Kwa madikteta na wenye viburi ni moto tu mwanzo mwisho!
Andaa mazingira nije nikushike chanjo ikupenye vizuriShauri yako ila sisi tunajua jamaa yako umeshakufa na hatuna habari wala nini! Ni kifo cha wakati wake na pahala pake.
Mama tunaomba lockdown kama Kenya na Uganda!Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi.
Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari...
Mimi sichanji ila ntakuwa nawashika bavicha matakle ili chanjo ipenye vizuri zaidi
ππ πππππMagufuli hela yoote alimalizia kujijenga kule Chato, na kwa vile haukuwa mpango wa Mungu akafa huku hajakamilisha azma yake.
Wacha tu mama atembeze bakuli afufue uchumi, hakuna namna!