#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

#COVID19 Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

ningependa atuambie hao wagonjwa wamelazwa hospitali zipi? familia zao wameziweka karantini?
Watu wamewekewa mipira ya gase ila hawana ndugu, hebu angalia alicho anzisha mwenzake huko uganda kwa sababu ya $£€ 👇🏾

 
Ili kumuenzi kipenzi chetu, jemedari &mzalendo namba 1 ni kwa nini chanjo ya korona inayotarajiwa kuwasili muda wowote kuanzia kesho kwa nini isipelekwe yote huko chato ili kuwaokoa maelfu ya watu wa Charo dhidi ya wave 3.

Napendekeza Chanjo ifikie Charo kwa sababu kuu mbili.

Kwanza ni kwa sababu chato inao uwanja mkubwa kabisa was kuwezesha ndege kubwa kabisa kutua,pili kwa sababu chato iko katikati mwa kanda ya ziwa, tatu kuwaokoa watu ambao wana uhusiano wa damu na mzee wetu ili anagalau tukiwaona tuwe tuna matumaini kuwa huenda miongoni mwao atatoka magufuli mwingine ili andeleze mchakato wa kuifanya Tz kuwa donour country.

Sababu ya mwisho ni kuitangaza chato kimataifa kama kitovu cha utalii kanda ya ziwa.
 
Hayo machanjo hayana faida yoyote ile zaidi ya kuharibu tu mfumo wa DNA.

Kwanza hakuna mtu anayeugua corona — mna viherehere tu vya kushabikia machanjo ya ajabu ajabu
Kaka ujielimishe kabla ya kuandika.
1. Hakuna chanjo inayoathiri DNA yako.
2. Chanjo kadhaa za COVID zilipatikana haraka kwa sababu zimetengenezwa kwa kutumia vipande vya DNA ya virusi
3. Chanjo nyingine zilitengenezwa kwa njia ya kawaida (kwa kutumia virusi vilivyodhoofishwa - sawa na chanjo ulizopata wakati ulipokuwa mtoto)
4. Watu wanaougua COVID ni wengi, milioni wameshathibitishwa, wengine wamekufa ilhali walipimwa na kuthibitishwa
 
Watapewa vyeti kama wa yellow fever wanavyopewa. Kwani ulishasikia Mtanzania karudishwa/ kuzuiwa kuingia nchi flani kwa vile amejichanja yellow fever kwa kutumia juice ya miwa ya kipemba iliyochanganywa na ndimu?
Sidhani mtu yeyote alichanjwa juice ya miwa na kupata hati ya chanjo; pamoja na hayo sina uhakika ni gramu ngapi za juisi hiyo zinazotosha kumwua mtu ukizingiza kwenye damu moja kwa moja.
 
Mkuu upo!! Hvi ikitokea Chanjo ya Covid ikadaiwa kama yellow fever kila unaposafiri nje je una maoni gani juu ya hilo? Au upo radhi waTZ tusiwahi safiri nje?
jamiiforums~p~CQqe4Z4t766~1.jpg
 
Covid -19 ipo sana na inaua. Tuwaige jirani zetu wa Kenya ambao leo wametangaza kuwa ifikapo Oktoba, 2021 watakuwa wamechanja wananchi wao millioni 10 na ifikapo mwaka kesho Oktoba 2022 watakuwa wamechanja wananchi wao millioni 26. Kama chanjo ni kitu kilichopendekezwa na watalaam kwa nini sisi Tanzania tusichukue hatua za haraka?. Kila kukicha watu wanakufa tena nguvu kazi ambao wanategemewa. Inabidi tuamke na kuchukua hatua za haraka sana.
Unajua tatizo ndio linakuja hapo mnaposema covid ipo na inaua sana,maana wengine wanajaribu kulinganisha na huko kwa wenzetu hali inakuaje pale inapokuwa covid inawauwa sana, mfano kwa wenzetu tunasikia hospitali kujaa wagonjwa wa corona na uhitaji wa mitungi ya gesi kuzidi na wengine hadi sehemu za kuhifadhi maiti kujaa maiti. Tumeona India huko kuni za kuchoma maiti ziliisha na kulikuwa na wingi wa mazishi, yani ni vitu ambavyo viko wazi unaona kweli hapa hali haipo sawa ila huku Tanzania sijui ni hali gani inayoonesha kuwa sasa mambo hayako sawa sana sana utaambiwa madaktari ndio tu huko ndio wanajua uhalisia wa corona.
 
Hivi hawa wamefikia asilimia ngapi ya watu waliyochanjwa chanjo ya corona?
20210630_161253.jpg
 
Mimi nina mwezi na nusu tangu nichanje full. Naendelea kuvaa barakoa kwani najua chanjo si kinga asilimia 100. Ila ukichukua chanjo ukajumlisha barakoa, distancing , kujisanitize au kunawa unakaribia kabisa kujikinga kwa asilimia 100.

Dunia ina lengo la kuukomesha ugonjwa huu. Katika lengo hilo ndipo zinakuja hatua mbalimbali ikiwemo kutoa fedha ili kuziwezesha nchi masikini ( Afrika) . Hata Ulaya zipo nchi zimewezeshwa kifedha ili kupigana na covid 19.

Wanaoona hizi fedha ni mtego ni wivu wao tu unawasumbua. Mbona hapo awali hawakusema ni mtego au kwavile zilichukuliwa kimyakimya zikawekwa mifukoni mwa miungu yao!

Mama endelea kuupiga mwingi. Unafanya kazi inayoonekana, siyo blabla tulizokuwa tunaimbiwa na wale watesaji.
Wanatoa fedha wanawezesha au wanakopesha..ebu tuweke wazi
 
Museveni nasikia yupo mahtuti huko Nairobi..halafu huyu si ndo mzee wa lockdown heavyweight,alipigwa na vaccine kabisa,halafu alikuwa analala huku kavaa barakoa lakini sasa hivi nusu mtu nusu mfu...hii covid kama ugonjwa wa kichawi!?
 
Hivi kati ya corona part 1,part 2 na part 3 ipi ilikuwa kali..asa hivi tuko part 3 au part 4??
 
Sidhani mtu yeyote alichanjwa juice ya miwa na kupata hati ya chanjo; pamoja na hayo sina uhakika ni gramu ngapi za juisi hiyo zinazotosha kumwua mtu ukizingiza kwenye damu moja kwa moja.

Acheni kushindana na marehemu JPM. Kile kilikuwa kichwa kwa kudra za mwenyezi Mungu. Average brains zitaishia kuumbuka tu na eti zinashauriana. Maandiko Matakatifu yanasema kipofu hawezi muongoza kipofu mwenzake wote wataishia kwenye shimo.

Kajifunze kitu kinaitwa tiba/kinga lishe halafu urudi. Wala hakihitaji hizi kauli za Tunaenda na dunia inavyo enda.
 
Wameweka ndoano ya hela hatimaye kanasa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiwa masikini ni sawa na [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
wazee wa legasi mnateseka mkiwa wapi?
 
Pamoja na watu kutokuchukua tahadhali yoyote mitaani ila wagonjwa ni 70 tu kwenye mitungi?

Huyu Bimkubwa naye msanii tu.
 
Kaka ujielimishe kabla ya kuandika.
1. Hakuna chanjo inayoathiri DNA yako...
Ujinga mtupu, kujitia mwanasayansi kumbe uchwara tu!

Hayo machanjo hayafai, yanaangamiza mfumo wa DNA na yanavuruga Auto-immunity!

Elewa hilo, usijifanye fanye mwanasayansi hapa!
 
Back
Top Bottom