The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wala hawakudanganya ila ukweli ni kwamba mwaka 2020 uchumi ulikuwa taabani na ndio sababu za kuchukua mkopo wa covid 19..Wewe ni mbwiga.
Taasisi kama IMF haiwezi kuidanganya dunia ili kumfurahisha Magufuli.
Wawekezaji wa level ya dunia wanatumia data za IMF na WB.
Ututusa wako wapelekee Bavicha wenzio!
Mkuu najua ww ni mtu wa facts, naomba unisaidie Tz tuliwekwa lini uchumi wa Kati na tulishushwa liniWewe kwa akili yako kama kisoda JPM wako ndio aliifikisha Tzn kwenye uchumi wa Kati?
Mwendazake ndio aliharibu uchumi hadi Tzn ikaporomoshwa na kurejeshwa ilikokuwa..
Chini ya Mwendazake idadi ya maskini iliongezeka Sana na kilele cha kuanguka kwa uchumi ilikuwa 2020..
Sasa ndio unaona Kazi za kujenga upya zinaendelea na kujenga Uchumi sio swala jepesi kama kujitwisha tishu kichwani.
Tanzania haikujitangaza kuingia uchumi wa kati. World Bank kwa kutumia vigezo vyao walitutangaza. Sasa kama World Bank wanaona tumeboronga kiuchumi wakatuondoa kwenye hiyo hadhi ni pathetic.Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Mkopo wa covid ulitolewa kwa nchi zote!Wala hawakudanganya ila ukweli ni kwamba mwaka 2020 uchumi ulikuwa taabani na ndio sababu za kuchukua mkopo wa covid 19..
Ila nyie hamuwezi kujua kwa sababu sio wafuatiliaji ila wachumi wanafahamu kilichokuwa kinaendelea.
Mkuu Kuna sehemu unachanganya sana, Tz iliingia uchumi wa Kati July 2020. Na pia naomba kueleweshwa ni lini tumeshushwa?Wala hawakudanganya ila ukweli ni kwamba mwaka 2020 uchumi ulikuwa taabani na ndio sababu za kuchukua mkopo wa covid 19..
Ila nyie hamuwezi kujua kwa sababu sio wafuatiliaji ila wachumi wanafahamu kilichokuwa kinaendelea.
Alitangaza WB. haitangazwi na nchi bali data zinakuingiza au kukutoaKwani tuliwahi kufika huko? Kipato chako kilibadilika wakati yule kichaa anatangaza kuingia uchumi wa kati?
hao ndio watanzania halisiWatu wanalalamika kuwa tumetoka na imekuwa siri. Na wengi ni hao hao waliokuwa wanasema sio kweli hatumo humo. Very funny 😀
Tumeshuka kivipi wakati makusanyo ya kodi yameongezeka mara dufuu?Mkuu Kuna sehemu unachanganya sana, Tz iliingia uchumi wa Kati July 2020. Na pia naomba kueleweshwa ni lini tumeshushwa?
View attachment 2176658View attachment 2176659View attachment 2176660
Nchi ya Uchumi wa kati haiwezi kuwa hivi , ule ulikuwa uchuro .
Halafu wewe ni nani hadi umpinge Rais ?
Afadhali angeminya,aibu tupu.View attachment 2176513
“Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule.
“Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani tutakapofika 2025 kama hatujafika tutakuwa tunakaribia, kwa sababu tunatarajia mwaka ujao tutakwenda kukua kwenye asilimia 5 na pointi, miaka miwili inayokuja tutakwenda kufika kwenye 6.8 tuliyokuwa kabla,” Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema hayo leo Aprili 5, Dodoma katika Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Ukiwa mjinga kabisa wa masuala ya uchumi, utasema Magufuli alituingiza uchumi wa kati. Ukiwa na akili, japo kidogo sana, utafahamu wazi kuwa safari iliyoanzishwa na Mkapa ya kuufikia uchumi wa kati, Magufuli aliififisha.
Mkapa aliongeza Per Capita Income ya Mtanzania kwa dola 400 katika kipindi cha miaka 10. Kikwete dola 380. Magufuli dola 80.
Utahangaika sana na hiyo mimba ya Magufuli kenge wewe
Ko ye aliporomosha ndo tukawa uchumi wa kati au unamaanisha Nini vingine muwe mnakaa kimya haviwekeki chuki ko aliepiromosha ndo 2katangazwa kua uchumi wa kati basi tulikua matajiri sanaWewe kwa akili yako kama kisoda JPM wako ndio aliifikisha Tzn kwenye uchumi wa Kati?
Mwendazake ndio aliharibu uchumi hadi Tzn ikaporomoshwa na kurejeshwa ilikokuwa..
Chini ya Mwendazake idadi ya maskini iliongezeka Sana na kilele cha kuanguka kwa uchumi ilikuwa 2020..
Sasa ndio unaona Kazi za kujenga upya zinaendelea na kujenga Uchumi sio swala jepesi kama kujitwisha tishu kichwani.
Yaani kuna watu na viatu huku duniani, khaa!Mkuu kwa hiyo sasa hivi kiuchumi tupo vizuri?
Unless unajua kinachoitwa growth at decreasing rate,pili kilele cha kuanguka uchumi kilikuwa kuanzia 2020 hadi mwanzo wa 2021 ..Ila watu😂😂😂
Ko ye aliporomosha ndo tukawa uchumi wa kati au unamaanisha Nini vingine muwe mnakaa kimya haviwekeki chuki ko aliepiromosha ndo 2katangazwa kua uchumi wa kati basi tulikua matajiri sana
Sasa akiongeza salary kwa kupunguza miradi anakua kapaisha Nini?Technically tuko vizuri kuliko ilivyokuwa miaka 6 iliyopita..
Muulize yeye to kuanzia mfanyabiashara,fundi kujenga hadi mtu wa ofisini utapata majibu..
Kudhihirisha hilo Bunge hili la bajeti salary zinaenda kuleee ☝️☝️☝️