Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
WB wakati wanatoa hizo data wewe ulikuwa bado uko kiuononi mwa babako ndio maana hujui nini kinajadiliwa hapa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Aliesema tuko uchumi wa kati ni WB au Magufuli?Ngoja nijaribu kukuondolea ujinga. Mashirika ya kimataifa - WB, IMF, WHO, ILO, FAO, nk hutumia takwimu zinazopatikana katika nchi ili ku-grade nchi. Kama utatoa takwimu za uongo, grading yao pia itakuwa ya uongo. Magufuli aliambiwa na IMF kuwa uchumi unakuwa kwa 4.5%, akatakaa, kichaa kikampanda, akagombana na IMF huku akisema uchumi wetu unakuwa kwa 7%. Ingetumika 4.5% nani angesema uko uchumi wa kati? Jielimishe. Usiishie kuwa mpiga kura wa CCM tu. Usitumike.
victor solomon - siyo vibaya na wewe ukijielimisha. Nimesoma ulichoandika.
Hata huo ukuaji wa 6.8 tusiutegemeeKurudi tena labda kama Putin atadhibitiwa mapema.
Vinginevyo tutapangia foleni hadi bidhaa muhimu!
Nimejisikia vibaya jana nilikua namtanabahisha rafiki yangu wa Madagascar kwa kujimwambafy kwamba tupo uchumi wa kati akawa ananibishia.
Kuonesha uchungu we naye kufaHuwezi kuwafukarisha zaidi wanyonge ambao ni wengi halafu utegemee kuwa na uchumi mzuri.
Magufuli alijua hili na ndio maana alihakikisha Watanzania wengi wanakwamuliwa kiuchumi.
RIP our best president, JPM.
Ujinga kama huu wako uwe unapeleka mjadili huko kwenye magroup yenu ya bavichaMkereketwa/chawa/kiroboto unajaribu kubishana na IMF. Kazi kweli kweli. Okay nakutakia kila la heri[emoji1787]
Enzi za JPM data zilikuwa zinapikwa.Mwenye uchumi wake mnamsimanga kila siku ,kaona isiwe tabu ngoja niondoke nao.
Haya sasa mama amekiri kuwa uchumi ule wa kati umeporomoka?
Je bado kuna shaka na uwezo wa utendaji wa JPM?
Mh.Rais SSH yuko sahihi....UCHUMI WA KATI TULIOKUWEKO umeporomoka kwa sababu ya JANGA LA UVIKO 19.........
Si serikali yenye kuweza kulaumiwa....
Wala si mh.Rais SSH mwenye uwezo wa kulaumika....
Corona
Corona
Corona
#Siempre JMT🙏
Ujinga kama huu wako uwe unapeleka mjadili huko kwenye magroup yenu ya bavicha
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Tulikaa kwenye lower boundary ya uchumi wa kati kwa miezi 6 tu, kisha tukadondoka kuliko hata tulipokuwa kabla ya kuingia uchumi wa kati. Na hiyo ilitokea wakati Magufuli akiwa bado hai.Jpm aliondoka nao..
Mama unamponda jpm wakti unajua unapitia kipindi kigumu
Nimejisikia vibaya jana nilikua namtanabahisha rafiki yangu wa Madagascar kwa kujimwambafy kwamba tupo uchumi wa kati akawa ananibishia.
Alipoondoka tu JPM Mbolea ilipanda kwa asilimia 100 kutoka elf 54 mpaka 130,000. Mwezi uliofuatia tu petroli ilianza kupanda kwa speed ya mwanga hata kabla ya vita ya Urusi. Inawezekana hata hizi bei tulikua tunadanganywa na yule jamaaUongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Marehemu Magufuli alikuwa dikteta aliyekuwa amekosa werevu.Sasa tutakuwa na uhakika gani kama hivi sasa takwimu zilizotolewa na selikali ni za kweli?
we jamaa wacha uonho[emoji1]
Hatuwezi kuingia uchumi wa kati kwa kukopa na misaada. Kama hawatadhibiti matumizi ya serikali na kuongeza uzalishaji uchumi wa kati ni historia kwa nchi hiiUchumi wa kukopa na misaada mbona hamsemi ukweli au sababu ya chuki zenu kwa JPM endeleeni kuupiga mwingi
Bwashee tunaanza na Ewura baadae kidogo!