Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

Omusolopagasi una akiri ndogo sana na hapa simaanishi za darasani, namaanisha una akiri ndogo za kuzaliwa.

Kama kweli wewe ni mtanzania wa maisha ya kati na kushuka chini utakuwa hujitambui kama hauwezi kuona tofauti ya kipato iliyopo leo mtaani kati ya JPM na huyu mfunga vilemba. Uswahilini sahivi kuna watu wanatamani hata kujinyonga kisa maisha kuwa magumu.

Hauwezi ukahujumu wazalishaji wa chini alafu ukauona uchumi wako ukikua, uchumi uliopo sahivi ni ule ule uliokuwepo enzi za JK wa kumilikiwa na watu wachache huku mass(common people) wakisota mtaani.

Magufuli alikuwa kichwa sana kuwahi kuongoza nchi, world bank wameleta shida na hawataki mama kuifungua nchi tena R.I.P JPM
 
Miradi ile mikubwa mikubwa lazima ingechangia hiyo percapita income kuwa kubwa...Kwa sasa hali ni tofauti kwani miradi iliyopo ina thamani ndogo perhaps na kwakua hiyo income ilichangiwa na miradi huku miradi yenyewe ikiwa haijaweza ku reflect the capital invested pengine hiyo percapita imeshuka!
 
Uongo una mwisho wake. Yule mkuu wa waongo alipoondoka ghafla 17 March 2021, mambo yote yakawa hadharani. Ni vigumu kuongopa siku zote na usigundulike. Unaweza fanikiwa kwa kipindi kifupi tu. Na ndicho kilichotokea.
Tatizo lenu chuki kwa Magufuli zimepitiliza hadi bahari ya atlantic. Soma hapo chini ujue nani muongo

 
Basi mama adanganye tufike uchumi wa juu
 
Ndiyo wajue hao ndugu walivyo wanafiki wakudumu, long as JPM hana effect tena kwao watasema ukweli wote, utumiwe kuwa frustrate waliopo na ndiyo mwanxo wa kupoteana njia
 
Hautanielewa daima. Nakuacha uendelee kuwa mnyonge.
Ndiyo wajue hao ndugu walivyo wanafiki wakudumu, long as JPM hana effect tena kwao watasema ukweli wote, utumiwe kuwa frustrate waliopo na ndiyo mwanxo wa kupoteana njia
 
Reactions: Ame
Sasa kama hawana uhakika na ukweli wa takwimu ilikuwaje walihitimisha na kutupeleka uchumi wa kati
 
Samia anadanganywa wazi wazi, mtanisamehe kama na mtukana... But effect ya kufeli kwake form 4 inaonekana
Acha matusi ya kipumbavu.....wewe kufaulu kwako form 4 kumekufikisha wapi ili watanzania tujivunie wewe zaidi ya kujivunia kuwa na kipenzi chetu mh.Rais SSH?!!!😳😳

Ama umejaa GRANDEUR DELUSION?!!!
 
Unamdanganya nani sasa hapa poti. Kwani WB na IMF hawakuwepo wakati wa Ben che nkapa. Haya bana
 
Hautanielewa daima. Nakuacha uendelee kuwa mnyonge. Ikifika kwenye uchanguzi mnachapa makaratasi ya kura ya kujipigia majumbani. Kwenye kufanya kazi, manaanza kuitana wafungavilemba!! Kama kwamba serikali imebadilika. Kumbe ni wale wale walioiba uchaguzi ule ule.

 
Chief hapo sio kweli, uchumi huwezi kudanganya. Unataka kusema tungewaambia Tz uchumi wetu Ni sawa na Marekani wangekubali na kupublish??
 
Sasa kama hawana uhakika na ukweli wa takwimu ilikuwaje walihitimisha na kutupeleka uchumi wa kati
Huyo pengine hana ubongo, anataka kusema tungepeleka data kuwa uchimi wetu sawa na Marekani wangekubali?
 
Hivi Viongozi walioko kwenye huo mkutano hasa waTanzania walio vaa hizo barakoa. Kama unaona huwezi kuivaa pahali itakiwavyo kuna haja gani kuibadika kidevuni mwako!!
Yaani mnaonyesha usanii fulani vile!
Waziri wa Afya na wizara yako kuna mahali mnakwama kuhusu swala la Kinga ya Covid-19 na taratibu zake.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…